Search results

  1. R

    Waziri anayaehusika SSRA, saidia kutatua changamoto za wafanyakazi ambao ni wanachama wa NSSF

    Mheshimiwa waziri anayaehusika, SSRA saidia kutatua changamoto za wafanyakazi ambao ni wanachama wa NSSF. Kuanzia mwaka 2016 nimekuwa nikiangaika kutafuta mafao yangu utoka NSSF bila mafanikio. Mwaka 2016-2017 niliambiwa sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Na.5 ya 2012 hairuhusu FAO LA KUJITO...
  2. R

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Lowasa hawezi kuwa Rais hata siku moja. Acha ndoto zako za abunwasi
  3. R

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Mheshimiwa Zitto pole na yaliyokukuta. Chadema ni Chama cha Watu wa Kaskazini wewe ulikuwa umejichomeka bila kujua, pia hata wale waliotangaza kuwa umevuliwa uanacha (Tundi Lissu) hakujua alilolitenda maana hata yeye atafukuzwa siku zikifika isipokuwa kama baba au mama yake anatokea Mikoa ya...
  4. R

    Mwalimu Joseph KABALIMU is no More

    Mwl. Joseph kabalimu mungu amlaze mahali pema peponi, amen
  5. R

    Kazi za Tutorial Assistants, Lecturers, Associate Professors na Professors wameishaitwa UDOM?

    Wapendwa wa Jamii Forums, naomba mnifahamishe kama wale waliomba nafasi za kazi za kufundisha UDOM yaani kazi za TUTORIAL ASSISTANTS, LECTURERS, ASSOCIATE PROFESSORS NA PROFESSORS, je, wameishaitwa kwenye usaili au bado maana muda ni mrefu. Kazi zilitangazwa mwezi wa Mei, 2011 na wakati wale...
  6. R

    Kulikoni UDOM?

    Hata mimi niliaply, ila ninachotaka kuwambia marafiki zangu ni kwamba tuwe wavumilivu maana naamini bado hawajaajiri kwa nafasi zote zilizotangazwa yaani kuanzia zile za mwezi wa tano hadi zile za mwezi wa nane. Ila napenda kuwambia wahusika wa udom watoe tamko kuhusiana na suala hili maana muda...
Back
Top Bottom