Search results

  1. O

    CHADEMA waamua kuchimba visima 11 Igunga na Kafumu haonekani tena Igunga!

    Wanaopaswa kupongezwa ni Chadema kwa kuwa Sabodo atawapa fedha Chadema na hao cdm wangeamua kupeleka hivyo visima katika majimbo mengine ila kwa kuona jinsi wananchi wa Igunga wanavyopata tabu ya maji wakaamua kuwapelekea hivyo visima. Tumia kichwa kufikiri na sio masaburi,huwezi kushindana...
  2. O

    CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

    Hapo umeongea pumba hakuna chochote cha ukweli,mimi nawashangaa sana,DC alikuwa katika majukumu yake,huwezi mzuia DC asikutane na watendaji wa vijiji au kata..NI vizuri kuwa waungwana kuomba radhi.
  3. O

    CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

    Hapo umeongea pumba hakuna chochote cha ukweli,mimi nawashangaa sana,DC alikuwa katika majukumu yake,huwezi mzuia DC asikutane na watendaji wa vijiji au kata..NI vizuri kuwa waungwana kuomba radhi.
  4. O

    CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

    Hivi ninyi mliosema kuwa mada hii ni CRAP mnaweza kusema na kuainisha nini lilikuwa kosa la DC Kimario? Au mnaongelea ushabiki
  5. O

    CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

    Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa. Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola mkutanoni,kufyatua risasi nk ambayo kwa namna moja ama nyingine yalitia dosari kampeni za uchaguzi huo...
  6. O

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Asante dada Regia kwa thread yako nzuri na kututegulia kitendawili. kumbe FaizaFoxy ni mwanaume? Sasa ya nini kujivalisha hijab!? Yaani ni dume jike,lol ptuu! FF kazi unayoifanya humu JF ni ngumu na huwezi shinda nguvu ya umma..ptuu!
  7. O

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Asante dada Regia kwa thread yako nzuri na kututegulia kitendawili. kumbe FaizaFoxy ni mwanaume? Sasa ya nini kujivalisha hijab? Yaani ni dume jike,lol ptuu! Kazi unayoifanya humu JF ni ngumu na huwezi shinda nguvu ya umma..ptuu!
  8. O

    Naomba mnipokee jukwaani

    Kwa heshima na taadhima naingia jukwaani ,nawaomba wakuu mnipokee. Thanks in advance
Back
Top Bottom