Search results

  1. P

    CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

    Yule mzinzi nadhani hajafurahiswa na umuzi wa Nape wa kukata rufaa si kwa sababu anajua kwamba hawatashinda bali ni chance ya kurudi kwenye koloni lake kule Igunga. Nape vipi bwana kumchelewesha mwenzio!
  2. P

    TCRA: Kutoa taarifa za siri za mawasiliano ni kosa la jinai

    Ni kuhalalisha Kufungia mwanahalisi? ni utoto, kama MwanaHalisi wamevunja sheria kutuhabarisha watanzania juu ya maovu ya ccm na tawi lao la pale Kijitonyama, habari juu ya matumizi ya ile hifadhi ya msitu ya Mabwepande, habari za uhakika juu ya wezi wa rasilimali za Taifa, uchotaji wa pesa toka...
  3. P

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Jembe letu Kubenea na team ya Mwanahalisi, mmefanya kazi kubwa sana ya kutuemilisha Wtz juu ya mambo mengi yanafanya na serikali ya chama cha mabwepande kutudhuru(mauaji,utekaji nk) na wizi wa rasimali za nchi. Msife moyo miaka 3 ijayo tunawapiga chini na gazaeti letu litarudi siku hiyo ya...
  4. P

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Jembe letu Kubenea na team yote ya Mwanahalisi hongera kwa kutupa habari za uhakika- fully investigative reporting. Miaka 3 si mingi wao na chama chao cha mabwepande tunawapiga chini na gazeti letu linarudi fully alive,sijui wataficha wapi nyuso zao!
  5. P

    Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

    Umelipwa shilingi ngapi leo pale tawi la chama cha Mabwepande namaanisha ccm Lumumba? Siku hizi wanawalipa vizuri nini maana juzi hapa mlikuwa na kamgomo baridi mkidai hamlipwi kwa post zenu za kutetea mafisadi humu JF. Au kwa kuwa Nape anavuta direct kutoka kwa mwenyekiti na ninyi waajiriwa...
  6. P

    Kama kweli simu za Mnyika na Lissu ziliingiliwa ni Kosa la Jinai: POLISI

    Kipindi cha uchaguzi ilikuwa kero,sms zenye kashfa kwa wagombea wa upinzani zilikuwa zinatia kichefu chefu, hao waliotenda makosa kama hayo ya jinai namaanisha CCM ( chama cha mabwepande wapi kule waliko mnanihii dokta) wamechukuliwa hatua gani mpaka sasa. Je walipata kwanza idhini ya wenye simu...
  7. P

    Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    Wabunge ni combination ya wataalam wa fani mbali mbali na kwa hiyo ni jukumu lao kujadili mambo makubwa yanayopoteza maisha ya wananchi kama haya majanga. Kama kuna watalaam unaowasema walifanya nini kurekebisha kasoro kibao katika sekta ya usafirishaji tangu enzi za mv Bukoba mpaka leo kama si...
  8. P

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Du Riz1 noma, anamiliki pia oil Com ya pale kona ya Mabibo! Sasa iko hivi, ule mradi wa mabasi yaendayo kasi design zake za mwanzo zinaonesha kulikuwa na kituo cha mabasi(feeder station) pale,lakini kabla mradi kuanza oil com ikaota eneo lile lile ikabidi DART waanze kutafuta eneo jingine...
  9. P

    Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

    Mbona hakuomba mwongozo kwa mauaji yaliyofanywa na wana ccm kule Arumeru mashariki,Igunga. Kama ana huruma aombe mwongo pia kwa mateso hata mauaji ya nayoendelea kufanywa na chama ambacho yeye ni mweka hazina.Hazina inayohifadhi mabilion ya fedha za EPA kupitia kagoda, hakika fedha hizo...
  10. P

    Ni nani aliyemtuma mkenya kumteka Dr. Ulimboka?

    Kuna maswali mengi nyuma ya kiinimacho kilichotangazwa na kamanda Kova juu ya utekaji wa dr Ulimboka. kati ya mengi, Maswali yafuatayo yana wafanya Tanzania wasiamini taarifa ya jeshi la polisi juu ya utekaji na utesaji aliofanyiwa dr Ulimboka. Kwamba mtekaji alienda kufanya toba kanisani...
  11. P

    Kabla ya ushahidi wa Mnyika,tuelezee hii siri Mhe.Nchemba

    Kabla ya speaker kuweka hadharani ushahidi wa Mnyika kuhusu yule MZINZI WA IGUNGA,aweke hadharani kwanza ule ushahidi wa Lema juu ya Pinda kusema uongo bungeni juu ya mauaji yaliyofanywa na polisi kule Arusha.
  12. P

    Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

    Ndo maana hata nickname yako ni panadol. Mtuhumiwa namba 1 katika mauji ya watz ni Mr dhaifu.Migomo kila kukicha,huna habari hata walimu walishagoma na matokeo yake yasikilizie baada ya matokeo ya darasa la saba,f4 na form 6! Kwako ni sawa wagonjwa kukosa dawa,kulazwa zaidi ya 2 kwenye kitanda...
  13. P

    Flyover TAZARA Imetengewa Bajeti - Magufuli

    Uongo wa Magufuli unaujua wewe? Kwa taarifa yako hata kwenye huo mradi wa mabasi ya kasi Kimara -Kivukoni hakuna design ya flyover hata moja. Mr dhaifu wakati wa kampeni alidanganya eti kutakuwa na barabara za juu, leo ije kuwa Tazara,kama unabisha nenda ofisi za DART,Starabag au Smec pale...
  14. P

    Gazeti la Mwananchi na hongo toka Mgodi wa Barrick

    Mwananchi, mnakalia kutangaza nafasi za kazi kwenye migodi ya hawa wezi barrick,je, mnajua wanavyoinyonya nchi? Kuna ukwepaji mkubwa wa kodi,kiwango cha dhahabu wanayozalisha hakuna anayejua si TRA wala wakala wa madini, mnakumbuka wakala wa madini na TRA walivyojiumauma kuhusu thamani ya...
  15. P

    Serikali, shughulikieni akina 'Sheikh Ponda' haraka sana

    Kwa ni nani anayetunga mitihani ya Islamic knowlegde na kuandaa marking scheme zake kama si waumini wa dini husika? Likewise Muislamu hawezi kutunga mtihani wa Bible knowledge. Mbona haingii akilini kama kufeli kwa waislamu katika somo linalohusu dini yao kumetokana na Ukristo? Acheni...
  16. P

    Je, hii ni Sababu KUBWA ya waziri Maige kuwa FISADI?!

    Mimi naishi jirani na jimbo lake,wananchi wake wako hoi kiuchumi. Walikubali kuhongwa hizo Tshirts na kofia maana kwa hali ilivyo wananchi hata ule uwezo wa kujinunulia nguo hawana kwa hiyo tshirts na kanga za ccm ndo ikiwa bahati ya mkenge kwao,viwalo vya bure lakini kwa sharti la kumchagua...
  17. P

    Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

    Mimi ni mkazi wa Kahama,tuna hasira na ccm acha, kama hauamini subiri 2014 na 2015. Kahama mjini ccm hawakupata hata kata 1 kwenye uchaguzi 2010 na kata kibao vijijini ilishinda CDM. Lembeli na Maige (wote hawa ni wabunge wa majimbo 2 ya wilaya ya Kahama hawarudi mjengoni 2015 wala mdudu yeyeto...
  18. P

    Sasa Rais afanye nini - Pinda anamrushia mpira naye hataki kucheza?

    Mwambieni na sisi huku mtaani kwetu kuna msiba,aje kuhani.
  19. P

    Kata zilizoko wazi mpaka leo!

    Kata ya Bugarama Kahama diwani wa magamba alifariki mwaka jana. Hiyo kata magamba wasahau watu wana hasira nao sana
  20. P

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Mkome kuwapa ubunge Wasomali na waarabu.Tabora mtabaki na mataruma ya reli hata treni yenyewe inapita mara moja kwa wiki,barabara ya maana kuwaunganisha na mikoa mingine hakuna. Badilikeni muache kupewa kofia,fulana na vitenge vya njano na kijani wakati wa uchaguzi chagueni watu watakaowapigania...
Back
Top Bottom