Chuoni hapahitaji "waalimu waliosota kufundisha/waliobobea" kama unavyodhani.. Chuo ni "higher learning institution" ndo maana hamna tuition za wanafunzi wa chuo
Kujua bei ya hisa kwenye soko la TZ ingia kwenye tovuti ya DSE... just google dse... Also, kama unataka hisa zako in cash, kwa njia rahisi, pata mtu umuuzie akupe cash, then afanye mchakato wa kubadili jina lenu to jina lake katika hiyo kampuni
Kikubwa hapo usinunue hisa ili uje uziuze... hapo ndo inakua mchezo wa kubahatisha... Shares utamu wake ni Dividend/gawio ambalo unapewa mara moja au mbili kwa mwaka kulingana sasa na value ya hisa 1 katika kipindi hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.