Search results

  1. A3M

    Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

    Habari Wana JF. Ni matumaini yangu mko poa na mnaendelea vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Wakuu Mimi naishi nje ya nchi na sitarajii kurudi kwa miaka hii mitano inayokuja lakini nahitaji kujenga Nyumba ambapo kiwanja kipo tayari nilishanunua ila tatizo sina mtu wa kunisimamia. Hivyo...
  2. A3M

    Je hawa ni wakweli au wanataka kuibia watu?

    Habari wadau Great thinkers wa humu JF Natamani mko poa na ambae hayuko vizuri Mungu atamsaidia atamrudisha katika hali yake ya kawaida. Wadau nimekuwa nikifuatilia sana baadhi ya Madalali wanaojitangaza katika Social networks hasa Instagram na Facebook ambao wananadisha nyumba zinazouzwa Kama...
  3. A3M

    Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Habari za humu wa wadau wa JF, Nichukue nafasi hii kumshukuru mwenyezi mungu kwa neema na baraka nyingi ambazo ametupa na kikubwa zaidi ni afya njema na maarifa mazuri aliyoturuzuku. Lakini pia nitakuwa mchoyo wa fadhila iwapo sitawashukuru Great thinkers wote wa JF ambao walitoa mawazo yao juu...
  4. A3M

    Naombeni ushauri niende kubaki Marekani au nirudi nyumbani

    Habari wana JF natumai mko vizuri muda huu.Nichukue nafasi hii kuwatakia Waislam wote Eid-el-Adh-ha njema.Wadau siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi hapa wa kutaka kupata uzoefu wenu wa kusafiri nchi za Ulaya na Marekani na nilieleza kuwa nimebahatika kupata visa ya Marekani kwaajili ya kwenda...
  5. A3M

    Safari ya Marekani

    Habari wana JF, Nimebahatika kupata visa ya kwenda Marekani kwenye mkutano utakaofanyika Washington D.C tarehe 19 August mwaka huu.Itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda ndege hivyo hata taratibu za Airport sizijui hivyo sitaki nipate aibu nitakapofika pale uwanjani kwa kutojua cha...
  6. A3M

    Jinsi ya kuijua Tin number ya leseni yako

    Habari wakuu,nimehangaika kuzitafuta documents zangu nilizosubmit kupata leseni yangu ya gari hivyo naomba mnisaidie jinsi ya kuijua Tin number ya leseni yangu.Natanguliza shukrani
  7. A3M

    Je huyu aweza kosa Visa?

    Habari wanaJF naomba msaada wa uzoefu wenu.Kuna rafiki yangu week iliyopita alikwenda ubalozi wa Netherlands kufanya interview ya Visa ya safari ya Netherlands kwaajili Conference huko.Maswali yote alijibu vizuri sana lakini alipoulizwa umeoa? akasema NDIO lakini alipoulizwa una mtoto? akasema...
Back
Top Bottom