Search results

  1. H

    Nini kimeyakumba mabasi ya mwendokasi

    Inasikitisha sana maana mamlaka husika imeshindwa kusimamia huu mradi pamoja na ahadi zisizotekelezeka za kumleta mbia mwingine. Hii habari tumenza kuisikia tokea mwaka jana lakini hadi sasa no one cares. Hata hili nalo linamsubiri Mh. Rais aseme jamani?
  2. H

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Hivi mbona baadhi ya watanzania mliomo humu mnakasumba ya kupinga kila jambo linalofanywa na serikali? Mimi nafikiri kuwa rais ana nia njema ya uteuzi huu maana lengo lake ni kuhakikisha kuwa mifuko hii inapounganishwa inakuwa na viongozi madhubuti. PPF ni miongoni mwa mifuko inayofanya vizuri...
  3. H

    Nini 787 dreamliner na tugemee nini?

    Watanzania kuweni wazalendo na muwache tabia ya kukatishana tamaa kwa kila jambo linalofanyika ndani ya nchi hii.
  4. H

    Tofauti ya KKKT na Romani Katoliki katika dhana ya kisiasa na fedha

    Katoliki kuwa na mabalozi na ukubwa unaousemea unakusainia nini kiimani wewe kama mkristo?
  5. H

    Tofauti ya KKKT na Romani Katoliki katika dhana ya kisiasa na fedha

    Mwanzisha mada nakuonea huruma kwa jinsi unapojidai kufahamu mambo ya kanisa ili hali hujui lolote. Nakushauri ujihusishe na siasa na uachane na mambo ya dini.
  6. H

    Kwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?

    Acha uchochezi. Sukari ya Zanzibar haitoshi hata soko la Zanzibar peke yake. Tatizo la wafanyabiashara wanataka ku maximize profit kwa gharama ya mlala hoi. Rais Magufuli alilifafanua vizuri jambo hili.
  7. H

    Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

    Hongereni CRDB kwa ubunifu. Naona NMB wameshawaiga ili kupanua wigo ila pamoja na hayo ya CRDB ni bomba zaidi.
  8. H

    Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

    Kwanini yasikanyage Tanzania? Nalisubiri kwa hamu kwa taarifa yako.
  9. H

    DAR: TRA yazifunga ofisi za Yusuf Manji kutokana na kudaiwa Sh. Bilioni 12. 2

    Watanzania tusiwe tunafurahia binafamu akiwa anapata shida kwa namna yoyote ile iwe kiafya, kifedha au biasharahata kama wewe huma isiwe sababu ya kukufanya ufurahie mwenzako akiwa hafanyi vizuri maana anguko lake halikuongezei chochote kwenye maisha yako.
  10. H

    Meya Ilala: Makonda anachapa kazi kuliko wakuu wa mikoa yote Tanzania

    Vyeti soyo toja wapo wengi wenye vyeti tena vyeti vikubwa lakini hawana ubunifu wala usubutu na moyo wa kujituma kama Makonda. Mimi siyo meanachama wa CCM ila penye ukweli lazima niseme na sina roho ya kumchukia mtu bila sababu. Bravo Makonda endelea kuwatumikia wananchi ila ufanye maamuzi ya...
  11. H

    Tundu Lissu amewasilisha Mpango wa Kujenga jengo la TLS kwa Tsh. 3 bill wakati CHADEMA haijajenga

    Mleta mada naona uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo mno. Tatizo lako kila jambo hata kama ni la maendeleo linaloletwa na mtu asiyekuwa na itikadi kama yako unalifanya siasa ya upinzani. Naomba utenganishe majukumu ya TLS na ya CHADEMA.
  12. H

    Tundu Lissu: Judge Candidates by their DEEDS not WORDS Alone

    Nakuombea Mungu Tundu ushinde walau sisi tusio na sauti tuweze kusikilizwa na watawala maana mmmhhh!!!
  13. H

    Kwanini Masha anataka kugawa kura za Lissu?

    Mbona mnaingiza siasa kwenye mambo ya profession? Huo sio uchaguzi wa vyama vya siasa na kila member mwenye sifa ya kugombea anahaki ya kufanya hivyo. Ndugu zangu watanzania hebu tuache kufanya kila jambo kuwa ni siasa. Endapo tutafanya hivyo hatutakaa tuendelee kamwe! Naomba tuwe na mawazo...
  14. H

    DPP Biswalo Mganga Afanye Kweli Sakata la IPTL

    Wala usitake kuelewa endelea kuwa hivyohivyo
  15. H

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Hivi criteria ya kuajiriwa serikalini ni dini au ni ujuzi na maarifa aliyonayo mtu?. Watanzania tusipokuwa makini kwenye haya mambo ya msingi tutakujajijutia baadae na tutajenga taifa la manunda. Naomba tunapochangia kwenye hizi mada tuwe waangalifu na michango yetu. Waliopewa dhamana kwenye...
  16. H

    CCM: Chama Cha Mapinduzi kwachafuka

    Sasa maoni ya Ndugulile yanahusiana vipi na kuchafuka kwa CCM?
  17. H

    Jaji Warioba kufukuzwa kwenye nyumba anayoishi mwishoni mwa wiki hii

    Mtoa mada hoja yako umeshindwa kuiwakilisha vizuri kiasi kwamba unawaacha watu na maswali mengi. Kama umelisoma gazeti ulipaswa kutoa muhtasari wa kinachohusiana na hiyo mada yako na siyo kuleta kichwa cha habari ambacho hakina maelezo. Au ulikuwa una feed forward?
Back
Top Bottom