Search results

  1. Yenga08

    Je, ni kweli Chawa wa Kike Wana Mchango mkubwa kwa CCM kuliko CHAWA wa Kiume?

    Ukiwa chawa mzuri wa sura., Mbususu ndiyo inayoumia.
  2. Yenga08

    Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Mi naomba kuuliza mkuu kama una abc za Gaza, hivi Gaza haina Serikali, Bunge, Jeshi wala Mahakama. Maana kila nikifuatilia naona Warabu toka nje ya Gaza ndio wanaoisaidia Gaza kwenye Vita toka miaka ya kale., japo kwa sas sijuwi kwa nin wamekuwa wazito kuisaidia. Ina maana hao Hamas ndio wenye...
  3. Yenga08

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Utajuwa wew.., maana wakuja siku zote huwa mnajifanya wajuaji kumbe hamnamo. Kukaa kwa shemeji yako hapo na wew ukaona umeyawin. Tafuta fuedha, tafuta fuedha tafuta fuedha kijana. Naamin kabisa wew ni more than regular people 100%.
  4. Yenga08

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Ha ha haaaa.., Jitahidi sana kijana wangu uwe na akili, akili hiyo itakuwezesha kupata mafanikio na utaondokana na umasikini. Ila ukiendelea na akili zako hizo shauli yako wakati hata chakurithi hapo kwenu hakuna.
  5. Yenga08

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Sawa mim ni lofa ila wew ni Masikini., narudia tena wew ni Masikini wa akili na Mali mbwa wew.,
  6. Yenga08

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Uwe mdogo uwe mkubwa utajuwa wew na maisha yako.., masikini ndiyo kazi zenu., tafuta hela usije ukawalaum waliokuzaa.
  7. Yenga08

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Tatizo lako ushabiki mandazi na mpira umeanza kushabikia ukubwani ulipojuwa kubeti, tafuta kazi ya maana kubeti siyo kazi utakufa masikini ha ha haaaa.
  8. Yenga08

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Kipindi timu inafanya vizuri nyie nyie ndiyo mlikuwa seat ya mbele kusifia., acheni unafiki mpira utabaki kuwa mpira tu. Sas ni zamu ya kijani kupata furaha, hautakuwa mpira kama Simba tu itakuwa bora miaka nenda rudi. Angalia England, Man U leo anasuasua tu na kuna kipindi Arsenal, Liverpool...
  9. Yenga08

    Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

    Mwigulu hana uwezo wa kuukubali huo mdahalo.., maana itakuwa ni fedheha kubwa sana kwake, kwanza alitwambia awamu hii hakuna wizi, uongo uongo tu na makanisani sijuwi huwa wanafuata nini.
  10. Yenga08

    Nchi nyingi zakatisha mahusiano na Israel. China waifuta kabisa kwenye ramani. Tanzania tufuatie

    Wameifuta kwenye ramani ipi., tuwekee hapa tuone. Jamaa hata wakibaki na mshirika mmoja tu ambaye ni US bado watasonga.
  11. Yenga08

    CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

    Ila wew jamaa kuna hitilafu pahala., sijuwi hata kama huwa unajuwa unachokiandika., "eti ndiye aliyeshinda katika Mioyo ya Watanzania wanyonge"
  12. Yenga08

    Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Hakuna kitu hapo.., maana serikali na Bunge ni mtu mmoja ni sawa na wew kutoa buku ten mfuko wa kushoto ukaihamishia mfuko wa kulia. Hakimu ni Mjomba na aliyeiba ni Binamu, huku Hakimu ni baba mdogo aliyepewa kazi na Shangazi, Kule Hakimu ni mtoto wa baba mdogo aliyepewa kazi na baba, ha ha ha...
  13. Yenga08

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Kulinda Watawala ili waendelee nao kupata mema ya Nchi, jiulize unakakuta kakijana kanauokota ukuu wa wilaya kutoka Lumumba mwisho wa siku kuna manyota anakapigia salute daaah.
  14. Yenga08

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Ukiangalia kwa makini saana, mfungwa wa Africa ni mtu masikini asiyekuwa na mwelekeo wa maisha., ila wale kina Mubaba, Fisadi, Mtawala hata aiibe serikali nzima na kuiuza daima hana hatia. Imagine mtu kakamatwa na kipande tu cha nyama ya swala anakula miaka 22, wakati huo huo kuna mijamaa...
  15. Yenga08

    Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Ni jambo jema saaana, ila lingekuwa jema zaidi na zaidi kama wangepeleka na mswaada wa kuwashitaki pindi wanapomaliza mda wao na wakawa wameenda kinyume na matakwa ya katiba pindi wawapo madarakani. Ila kwa kwa kuwa kazi ya bunge ni kutunga sheria na ili uwe mbunge sifa moja wapo ujue tu kusoma...
  16. Yenga08

    Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Kuna vita ya siku 6 ilishawahi tokea kati ya Israel na Nchi za Kiarabu., ngoja tuone hii itakuwa ya mda gani.
  17. Yenga08

    Hii tabia ya kuhamisha viongozi waliofeli inazidi kuturudisha nyuma kimaendeleo

    Mkurugenzi anasema hela zipo, mtu wa Manunuzi anasema tayari tumeshanunua vitu, Mtunza fedha anasema hela hazipo, yaani unajiuliza maswalu lukuki lakiki majibu unakosa. Hili Taifa lina tatizo kubwa saaaana pahala. Tulimtoa mkoloni mweupe enzi zileeee, ila tukaingia tena kwa mkoloni mweusi...
  18. Yenga08

    Kama kura za Makaratasi zinaibiwa kimachomacho za kidijtali zikianza? Nape amezoea kumaliza kwa bao mkono

    Ila huyu jamaa sijuwi huwa anawaza nin kuhusu hili Taifa..,
Back
Top Bottom