Search results

  1. G

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Clouds haina tofauti na TBCCM, lakini nguvu ya Umma ni zaidi ya hizo propaganda
  2. G

    Mkinga Leo Star TV anajichanganya mwenyewe akimponda Lowassa

    TV za kuangalia ni Azam na ITV
  3. G

    Swali la kipima joto iTV

    Majibu yatatoka kabla ya taarifa ya habari kuhitimishwa
  4. G

    Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Huyu mama mgombea mwenza wa magufuli alikuwa mstari wa mbele kutupulia mbali maoni ya wananchi alipokuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge maalum la katiba
  5. G

    Pass mark ya utumishi

    Ina-depend na perfomance lakini minimum ni 50%
  6. G

    The 10 poorest countries in the World

    Kweli mkuu,maisha ya mtanzania wa kawaida ni magumu sana,kuna tofauti kubwa kati ya Economic growth ana Economic development.
  7. G

    The 10 poorest countries in the World

    GDP is not a suitable measure of economic welfare.A Country may have a great figure of GDP but if This GDP is not equally distributed in the society,then it is Meaningless.
  8. G

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Kinana anaifananisha CDM na Jonas Savimbi
  9. G

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA uwanja wa Ujenzi - Dodoma

    Well done kamanda.upload some few photos if possible
  10. G

    Kumbe Sheria Inaweza Ikatugwa Baada ya Adhabu Kutolewa

    Naomba kuuliza wakuu kuhusu kanuni aliyotumia J.ndugai kuwafungia wabunge 6 wa chadema.Spika anaweza akafanya uamuzi wowote nje ya kanuni na baadae uamuzi huo utaingia kwenye kanuni za Bunge.Swali: Je spika anaweza kuamuru mbunge aliekiuka kanuni kuchapwa viboko na wabunge wenzake na kisha...
  11. G

    Kumbe Sheria Inaweza Ikatugwa Baada ya Adhabu Kutolewa

    Kumbe spika anaweza akaamuru Mbunge Anyongwe mpaka kufa then baadae inaingizwa kwenye kanuni za Bunge
  12. G

    Mnyika ana hoja: Uwingi wa CCM bungeni wamwangusha juu ya bil 29 za rais

    Idadi kubwa ya wana CCM imewabeba lakini ukweli halisi wanaujua mioyoni mwao.
  13. G

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    Katika kikao cha bunge leo jioni zilikuwa zikisikika sauti za chini kwa chini za wabunge wa CDM wakimpa maelekezo mh.prof Kahigi jinsi ya kutoa hoja.Je ni kweli Mh.Prof hajui namna ya kutumia kanuni za Bunge?
  14. G

    NAFASI MPYA ZA KAZI,tembelea www.ajira.go.tz

    Tembelea website ya utumishi Www.ajira.go.tz wametangaza nafasi mpya za kazi leo 16 april 2013
  15. G

    Wabunge CCM acha udini, waumini wa Msigwa siyo nguruwe!

    QUOTE=Babu Kijana;6141415]Msigwa na CDM yake ni genge hatari sana, amedhihirisha kuwa wana ajenda ya kuubeba ukristo kuunyanyasa uislamu pale aliposema 'hatuwezi kukubali nchi hii iwe ya kiislamu'....it means anataka kuifanya kuwa ya kikristo! Alisema nchi hii ni ya Watanzania wote
  16. G

    Uchaguzi Igunga: Ni lini Upinzani utajifunza?

    Matokeo hayajatanganzwa,isitoshe sasa hivi bado watu wanapiga kura, wewe unasema ccm wanashinda kwa 20%.una matatizo wewe
Back
Top Bottom