Search results

  1. jjs2017

    Wanawake wakiamu hakika wanaume tutakufa kama konokono ni vile tuu mtetezi wetu yu hai

    Swala la hao kubaki na nani hawafikiriagi hawa.. wewe vimba ila ujue tuu hawa viumbe ni balaa
  2. jjs2017

    Wanawake wakiamu hakika wanaume tutakufa kama konokono ni vile tuu mtetezi wetu yu hai

    Habari ya siku nyingi. Kweli kama vile mkate mgumu ukiwekwa kwenye chai unavyokuwa ndivyo hivyo na wanaume tunavyokuwa mbele ya wanawake kunako 6*6, na ndiyo maana katika moja ya njia ya mwanamke kukudhibiti na kukupa maumivu ya moyo ni kukunyanyasi tamu yake hakika maana kukupiga mwanaume...
  3. jjs2017

    Natarajia kuanza kununua dada poa rasmi kupooza nafsi yanguq

    Hapo kwenye vijizi na kuelewa mkuu
  4. jjs2017

    Natarajia kuanza kununua dada poa rasmi kupooza nafsi yanguq

    Nimegundua wanaume waoaji na wenye nia ya dhati kuoa na kuishi na mke maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu tupo tukianza na mimi ila kuna ugumu mkubwa na upinzani mkali sana katika kutafuta mke mwema, na usipo kua mwangalifu unaweza ukajipatia mental disioder hivi hivi. Sasa ili kujilinda...
  5. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Ni nae mwingine , japo pia na fikira ni mchonganishe yeye na mwanamke wangu labda mwanamke wangu atanisaidia kupigana nae
  6. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nawaza sana nimwambia mume wake japo sijui reaction ya mume wake itakuaje kwa mkewe
  7. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nimejaribu hii imeshindikana
  8. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nimejaribu hii imeshindikana
  9. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nia ninayo nimehangaika sasa inanishinda, acha kunitukana
  10. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nishajua ni mke wa mtu siwezi kumkubaki tena
  11. jjs2017

    Marriage is scam

    mnaisingizia sana ndoa , wanawake ndiyo wabaya japo ni watamu
  12. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Heri ya mwaka mpya na habari za siku nyingi. Mwaka jana nilikutana na huyu binti wa kirangi katika mazingira yangu ya kazi, sikujua kama ni mke wa mtu tukawa kama marafiki huku nikimsaidia mambo ya hapa na pale ila katika utani utani baina ya mwanaume na mwanamke nikajikuta na mtongoza alikaza...
  13. jjs2017

    Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

    Mimi na tafuta mke humu mbona unanikatisha tamaa?
  14. jjs2017

    Wanawake tukataeni kistaarabu tunapowatongoza ipo siku utatamani hata upigiwe mruzi ila utaukosa

    Kwahiyo akiwa na muonekano mzuri hakuna haja ya kumtongoza au kwenye muonekano unamaanisha nini?
  15. jjs2017

    Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

    Je, sisi tunaojitafuta wapambanaji hatuna haki ya kupendwa, kuoa na kuishi na mwanamke?
  16. jjs2017

    Wanawake tukataeni kistaarabu tunapowatongoza ipo siku utatamani hata upigiwe mruzi ila utaukosa

    Wanawake tunawatongoza kwasababu tuliambiwa tuwapende, hatupendi kuishi wenyewe wapweke ndiyo maana tunawafata. Inasikitisha sana mwanamke unamtokea alafu anakujibu tuu direct 1: "SIKUTAKI" 2: HUNA HADHI YA KUA NA MIMI 3: ANAKUPANDISHA NA KUKUSHUSHA ALAFU ANATEMA MATE CHINI ANAONDOKA ZAKE...
  17. jjs2017

    Watoto wa kike vs wa kiume?

    Mtoto wa kiume ( mwanaume) ni mrithi , kiongozi, mtawala na mwenye mamlaka makuu. Nb: Baba asipo kuwepo Boma anaachiwa mtoto wa kiume
  18. jjs2017

    Kumpa hela / matunzo mwanamke ambaye hujamuoa ni sawa au sio sawa?

    Salaam sana. 1: Je, ni sahihi kumpa hela pamoja na matunzo mwanamke ambaye hujamuoa kabisa kwa kisingizio cha uchumba kuwa wanadai matunzo na vihela vidogo vidogo? 2: Je , ni halali kumpa 50,000/= kila mwezi mwanamke kama hela za kumtunza ilihali wazazi wake wote wapo na pia ukizingatia kwa...
Back
Top Bottom