Search results

  1. M

    NMB yadaiwa kuajiri raia wasio watanzania

    Kama nilivyosema, mtoa mada sio chanzo cha habari, amefikisha ujumbe kutoka kwenye chanzo ili wahusika wachukue hatua
  2. M

    NMB yadaiwa kuajiri raia wasio watanzania

    Baba na mama ni raia wa Burundi. Mtoa mada ni mfikisha taarifa tu, hana uhusiano wowote na watu wanaozungumziwa
  3. M

    NMB yadaiwa kuajiri raia wasio watanzania

    kuishi na kufanya kazi kinyume na sheria. Tusimamie hapo mkuu
  4. M

    NMB yadaiwa kuajiri raia wasio watanzania

    Well said, huu utamaduni wa kudharau au kupuuzia vitu ndio unaotuumiza kama taifa
  5. M

    NMB yadaiwa kuajiri raia wasio watanzania

    Benki ya NMB imeingia kwenye kashfa kubwa ya kuajiri wakimbizi watatu kutoka nchi ya Burundi, wanaoishi na kufanya kazi kinyume na sheria. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, wakimbizi hao watatu ambao wote wana jinsia ya kike wameajiriwa kwenye matawi tofauti ya benki hiyo. Mmoja...
  6. M

    UKAWA wawasilisha hoja kwa Spika kumng'oa Naibu Spika Dr. Tulia

    Eti "bunge ni mhimili unaojitegemea"....na bado unataka watu waendelee kusoma ulichoandika.
  7. M

    Zitto Kabwe amshukia Charles Kitwanga, waziri wa mambo ya ndani

    Nna wasiwasi kwamba una maslahi kwenye hili jambo. Kiuhalisia wewew si muongeaji lakini kwenye hii ishu ya lugumi umegeuka kuwa msemaji mzuri sana inginia
  8. M

    Sakata la Lugumi: Waziri Kitwanga kusababisha kuibuka kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu?

    Mkuu ungenawa uso kwanza, piga mswaki, then upate kifungua kinywa ndio uje kuchangia.....huu utaratibu wa kuchangia hoja huku uso umejaa tongotongo na tumbo halina kitu una madhara makubwa sana
  9. M

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    ungetumia kiswahili labda ungeeleweka vizuri.
  10. M

    Mkesha wa kumpokea Dr. Pombe Magufuli jimbo la Kishapu

    wakeshe KWA njaa, sio wakeshe NA njaa
  11. M

    TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    mkoa wa njombe umekatwa dakika mbili zilizopita
  12. M

    Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

    kwahiyo we mwenzetu kipindi hiki huendi kabisa kazini?
  13. M

    Zitto aitibua CHADEMA

    cc. Pasco
  14. M

    Zitto aitibua CHADEMA

    CC. Joka kuu
  15. M

    UVCCM kikao cha kumjadili Makonda kesho,

    mtindo wa lugha unayoitumia wengi hawaielewi. Kweli ni ukweli mchungu kwa lugha ngumu
  16. M

    Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Hii imekaa vizuri, labda tutajifunza kujitegemea
  17. M

    Kufuatia Sitta Kuonyesha Ushupavu katika Katiba, Jee Tumpe Nchi 2015, Ili Aisimamie Katiba Mpya ?

    Nadhani mi nimekuelewa "Katiba mpya tuipendayo".......sidhani kama umemtukana "Mwenyekiti wetu mpendwa" wa bunge la katiba
  18. M

    Picha: Mwanasheria mkuu atoa taarifa kwenye vyombo vya habari

    Umesikika, haya sasa rudi kwenye mada
  19. M

    Press Conference ya UKAWA kuhusu Katiba Mpya; tulikotoka, tulipo na tuendako saa 5 leo

    Makene ameharibu siku, huwezi kusema mkutano saa 5 halafu mpaka mda huu hakuna updates zozote, huku ni kutukosea heshima
Back
Top Bottom