Kutakuwa na usafiri maalumu wakati huu wa usiku kuwapeleka makwao ama wakishafuturu basi kila mmoja ataendelea na njia yake?
Nauliza tu maana isije kuwa kero ya usafiri inazidi hata gharama ya chakula kwa kila mtu
Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
Hili hakika umewaweza wale wote waliokuwa wakotumia mianya ya udhaifu wa kiuongozi kufanikisha yao.
Hii idea ya kuweka makamanda kila sekta ndo maana nchi imetulia na hujuma zimepungua
Sasa hivi
Bandari kuna ma soldier
Mwendokas kuna ma soldier
Muhimbili kuna ma soldier
Airpot ndio usiseme
Sgr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.