Search results

  1. T

    Yanayochangia ndoa kuvunjika

    Kukosea katika uchumba, kwani si kila mwanaume/mke anaweza kuwa mme/mke wako.
  2. T

    lets talk about lovee!

    Binafsi naona sababu kubwa ni mwendelezo wa mapokeo ya asili toka kuumbwa kwa mwanadamu (Mwanzo mungu alimuumba adamu-kupitia yeye mwanamke akapatikana). Hivyo mapokeo ya mila na desturi zetu toka enzi za mababu na kumbuka tamaduni hudumishwa kwa kuendelezwa kizazi hadi kizazi ndio maana jamii...
  3. T

    SALAAM kutoka jikoni

    Mkuu, Unaomba wapi hiyo katiba mpya? Mbona viongozi wetu wote wanaohusika na suala hilo walishatoa jibu la kutoona umuhimu wa katiba mpya?
  4. T

    CCM malipo ya DOWANS.....''NO''

    Nawaomba wanaharakati na watanzania wote wenye nia njema na nchi hii wajitahidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa maandamano kwa maendeleo endelevu ya taifa letu lililojaa uozo wa kila aina, kwa sababu naamini wengi wetu (hasa vijijini) kupata taarifa inakuwa ngumu sana na inachukua muda.
  5. T

    Bila busara uchaguzi 2015 ni vita na vurugu-mwisho wa amani

    Sasa mkuu, nini kifanyike ili kuondoa huo ujinga ambao watanzania wengi wanao hasa walioko vijijini?
  6. T

    Naomba msaada

    Inamaana mna dini/ imani tofauti? Pia kama umemnunulia liwe lake binafsi, basi kubaliana na matokeo ya hicho alichokifanya kama unaona amefanya kwa kadri ya imani yake na kwa nia njema ya kustawisha ndoa/ familia yenu pasipo shinikizo kutoka kwa mtu yeyote akiwemo huyo pastor aliyekabidhiwa...
  7. T

    Mabinti wa kileo

    Tatizo vichwa vyao vimejaa ujinga wa kupenda kuiga mambo maovu, nchi imekuwa na jamii ambayo haina maadili kabisa mfano suala la mavazi ndio aibu kabisaaaa.... huyo binti unayemsema hapa ukimwambia akuonyeshe mamayake unaweza kimbia jinsi alivyo na vivazi vya ajabu kushinda vya mtoto wake! yaani...
  8. T

    Nani anayesimamia elimu nchini?

    Njia zipi zitumike sasa? (hapo kwenye red) , Kwasababu binafsi naona tatizo la shule kama hizi lipo sana vijijini ambapo ndiko wapiga kura wengi wasio na elimu bora wapo, pia kipindi cha uchaguzi hutumia umaskini wao kuwadanganya kirahisi.
  9. T

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Asante sana! Nimeyapokea yote kwa mikono miwili.
  10. T

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Asante kwa kutoa mawazo yako! haya ndiyo mawazo na mitizamo ya wenye mafanikio kimaisha kama wewe na ambao hawataki kuwashauri wenzao namna ya kujikwamua toka ktk lindi la umaskini . Kama huna la kutushauri ni heri unyamaze!
  11. T

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Thax for ur opinion Mkuu!
  12. T

    Tangazo la kazi

    Mkuu achana na hao wanaobeza tangazo, wameshiba hao! ila kwa sisi tunaoganga njaa mtaani tunakushukuru sana kwa kutuletea tangazo. Usikatishwe tamaa na watu kama hawa! Endelea kutusaidia sisi wenye uhitaji na Mungu atakuzidishia.
  13. T

    Kwa nini CHADEAMA wanabwagwa na CUF kwenye midahalo?

    Watanzania tunahitaji watendaji wa kuleta maendeleo ya kweli ktk kutatua matatizo mengi tuliyonayo eg. umeme, ajira, elimu, miundombinu,afya, maji n.k. hii midahalo kwa sisi ambao mlo mmoja kwa siku ni tatizo haitusaidii kabisa!
  14. T

    Dada zanguni jamani!nipeni ukweli!

    Nitabaka gani linaongoza kwakuvunja ndoa? Hapa sijakuelewa unaposema tabaka unamaanisha nini.Nieleweshe! Maana naona mtu kaolewa mwezi kaachika je msababishaji ni nani??Mume mke?? Mume na Mke hawa wote ni wasababishaji wa kuvunjika kwa ndoa yao, kwa kushindwa kuitambua misingi imara ya ndoa...
  15. T

    Bashe aonya: Ya Zambia yanaweza kutokea Tanzania 2015!

    Hivi watanzania watawaliwa tufanye nini? Kwa nini matatizo ya watanzania yanageuka-dili kwa kuyazungumza tu bila utekelezaji? maana kila kukicha viongozi wa chama na serikali wanayazungumza lakini hakuna dalili ya matumaini ya unafuu wa maisha kwa mtz wa kawaida. Watu wanajitahidi kufanya...
  16. T

    Mdahalo wa Igunga 'The Tanzania We Want' kuoneshwa leo Star tv

    Asante kwa kutujuza! Naombea tanesco wasichukue umeme wao.
  17. T

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Nime-edit boss wangu kama haikueleweka vizuri, nashukuru kwa ushauri wako,tatizo nina njaa sana (sina pesa, sina kazi..hivyo hata ubongo unalala boss) ukiwa na njaa hata kupangilia inasumbua ,hivyo kama hukuipata sms vizuri nakuomba ipitie tena kwa ushauri zaidi.
  18. T

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Nahitaji watu waliotayari kujoin-wazo langu! Hivyo kama na wewe umetambua umuhimu wa hoja yangu tuma no.yako ya simu via nwk2020@gmail.com kwa mawasiliano zaidi.
  19. T

    nimepata kazi mkoani ...najishauri!!

    Unatutamanisha tunaosaka ajira....halafu ukizingatia hazipatikani.., ukishafanya maamuzi nipe mimi hiyo kazi utakayoibwaga koz kazi mbaya ukiwanayo! Na nyie mnao-apply kazi ambazo hamzihitaj acheni bwana tabia hiyo, kwani mnatunyima fursa siye wenye shida nazo, Msifanye hivyo p/se MNATUHUJUMU...
Back
Top Bottom