Search results

  1. M

    Mtu yeyote anaweza mfungulia Sitti Mtemvu mashtaka

    Lundenga hana Mshipa wa aibu kwani kila kitu kiko wazi kuwa sitti amedanganya, Mosi: akiwa jukwaani alisema ana umri wa miaka 18 na wakati cheti cha kuzaliwa alichowakilisha Miss Tanzania kinaonyesha miaka 23, je majaji na Lundenga wanataka ushahidi gani hapo. . Nimemsikilia Lundenga anadai wao...
  2. M

    Eti Watu Wenye Kipara Wana Nguvu Nyingi za Mapenzi-BBC

    Mamndenyi acha kututusi wenye miaka 35 na tuna vipara, Tafadhali tuombe radhi
  3. M

    Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Venine hongera kwa kuwa upande wangu, Umesema familia ya bwana harusi ni ya kichoyo, kikorofi na isiyo na busara, kwa maelezo ya Bibi harusi inaonekana familia hiyo ni yenye busara na isiyo na uchoyo ndio maana waliwaruhusu waingie wale watu wawili waliozidi, na Pia familia ya Bibi harusi...
  4. M

    Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Kwanza kabisa pole ila siku zote lazima mtu ujiandaye kwa maisha yajayo na mikikimikiki yake, hapo kuna suala dogo sana ambalo wote wawili mnalo na kuindoa hiyo tofauti yenu nikujishusha kwanza, maana fahari wawili hawakai zizi moja. kwa sababu siku ya harusi yenu kulitokea tatizo la kuzidisha...
  5. M

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Ufoo hata Mtoto akisoma hiyo stori unakuta kuna mengi anaficha na pia pia kama alimwona akijipiga risasi kidevuni na kuanguka je Risasi aliyopigwa begani ilitoka wapi, Hapo Iko Maneno itajulikana tu, na Ndg zake wenyewe wamesema kulikuwa na tofauti zao na pia Ufoo aligoma kuhamia kimara, Mdogo...
  6. M

    Sipendi kutoa au kupokea shikamoo kwa agemate wangu,

    Ndg ukiona Watu wanakusalimia Shikamoo ujue wanakuona umekomaa au umezeeeka, tena kama unavyojisifia hivyo mwenyewe najua napata jibu kuwa wewe pia Una matatizo ya kupenda sifa
  7. M

    Mwenzenu naangamia

    Ndg yangu fanya makosa yote Duniani ila usifanye Kosa katika Kuoa, angalia usije ukajutia maisha yako yoote, maaana Mwanamke asiyetaka suluhu kwa Mambo madogo kama Hayo , ukimwoa atakusumbua haswa, aangalia sana ndg yangu
  8. M

    Katiba ya CCM inaipa NEC Mkoa uwezo wa kumfukuza mwanachama na kiongozi

    Hapa ndipo tunapoona nguvu ya pesa inavyofanya kazi, Yetu Macho na Hapo Chadema jiandaeni kuchukua kata hizo zoote, hasira za mkiza .........Mvuvi,,,,,,!!!
  9. M

    Katiba ya CCM inaipa NEC Mkoa uwezo wa kumfukuza mwanachama na kiongozi

    Ni wazi kabisa Nape katika hili hajakurupuka katiba inasema kama uteuzi wake wa mwisho ni wa Nec Mkoa, hapa Uchaguzi wa mwisho ni wananchi wanaowawakilisha.
  10. M

    Mwanamke achoma moto range rover sport ya boyfriend wake kisa wivu

    kwa wakristo imeandikwa ishini na wanawake kwa hekima na Busara, pia tukumbuke wanawake ni watu walio na hasira haraka na maamuzi yasiyo na Busara
  11. M

    Niite CHIZI sina AKILI ila ukweli ni kwamba HAKUNA binadamu yeyote ALIYEFIKA MWEZINI

    I real enjoyed it got something to start with my research
  12. M

    Sumaye: Rais ajaye apambane na madawa ya kulevya!

    Mtu akisema ukweli basi ni ustaz, hapa hakuna dini ukweli lazima usemwe bila kuangalia dini, kabila wala rangi
  13. M

    Mzee wa upako: Ningekuwa rais wanawake wasingefanya kazi

    Mungu aturehemu na kutuepusha na manabii wa Uongo,
  14. M

    Sumaye: Rais ajaye apambane na madawa ya kulevya!

    Najua wote tunapenda kusikiliza na kuzungumzia ndoto za alinacha, Hakuna cha Sumaye wala Jk hapo, Je Sumaye kesha rudisha zile eka 600 alizopora Morogoro, na ukizungumzia madawa ya Kulevya na Ufisadi hapo CCM ndio wanaongoza na hakuna mpiganaji wa kweli kwa sababu uongozi wanapata kwa kutumia...
  15. M

    Lema aumbuka! Namba ya simu aliyodai ya Mulongo ilikuwa ni Uzushi

    Wana JF someni vizuri hiyo taarifa ya Kamanda wa Polisi Arusha, utabaini yafutayo, Hawajakataa Lema kutumiwa ujumbe, suala la pili ni kweli ujumbe ulitoka kwenye no ya RC Mulongo ila chanzo cha ujumbe huo sio No ya Simu ya Mulongo, kwa kusema hivyo tunakubaliana kuwa ujumbe ulitoka kwa Mulongo...
  16. M

    Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

    Naona kaka umekurupuka haswa , soma nilichoandika harafu angalia ulichoandika kama kina husiana au la, kwanza kabisa nakusahihisha juu ya mwandesha mashtaka hutoa amri kwa mahakama kumuona mshatakiwa anakosa na apewe adhabu kali, mwendesha mashtaka ndiye huiambia mahakama kama kuna ushahidi...
  17. M

    Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

    Chei Chei Shangazi, ni wimbo unaonikumbusha enzi hizo za RTD, naomba ujue kuwa polisi na mahakama ni mihimili miwili inayotegemezana, na ukisema nani anatambulika mahakamani ni katika nini hapo, Mahakama inawatambua wote OC CID NA PP, kwa sababu wote hao ni polisi, isipokuwa kwa sasa baadhi ya...
  18. M

    hatimaye mjengwa aibuka na kunena.

    Hapo kuna jambo limejificha kuhusu uhusika wa Mjengwa kwenye Sakata la Kibanda, Mosi Ludovick alikuwa na Mjengwa siku aliyotekwa na Kupigwa Kibanda karibu na ofisi ya Kibanda, Pili anasema waliachana Shekilango Ludovick akiwa anaenda Tabata, baadae wakasema Ludovick alikwenda Hotelini kwa Majid...
  19. M

    Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

    Naona wewe ni mbumbu maana hujui taratibu za mahakama na polisi, naomba kukujuza kuwa jalada lolote linalopelekwa mahakamani lazima liandikiwe na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya au Mkoa, na kama Hao hawapo basi huandikiwa na mtu mwingine kwa niaba yao, huwezi sema mahakama haimujui Mkuu wa...
  20. M

    Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

    Hapo Hakimu kama kweli alipigwa basi alijitakia kwa sababu huwezi kumwambia mkuu wa upelelezi ambaye ndiye huandikia majalada kuja mahakamani kuwa hamtambui ila mwendesha mashtaka aliyechini ya Mkuu wa upelelezi, hapo kuna ukweli kuwa mrungura ulitembea na huenda alikula na mwendesha mashtaka...
Back
Top Bottom