Search results

  1. Mzalendo Imara

    Ujenzi wa nyumba kubwa ya familia kwa Morogoro

    Habari naomba kujua cemrnts namba 42.5 R camel inaweza toa tofari mingapi?
  2. Mzalendo Imara

    Msaada wa Admission letter

    Habari wana JF?Mim ni mwajiriwa kada ya Elimu nilikuwa mechaguliwa bachelor degree in road and railway transport logistics management(NIT), Shida yangu kubwa ni kupata admission letter ya chuo tofaut ya NIT ambayo ime andikwa kozi ya bachelor degree in chemistry and mathematics ili niweze kupata...
  3. Mzalendo Imara

    Maombi ya kufahamishwa kipengele cha direct payments to the students Chuo cha NIT

    Habari wana jamvi nilikuwa naomba kupewa elimu kidogo kipengele cha direct payments to the students chuo cha NIT nimeshindwa kuku kielewa kabisa , lakini kipengele cha tuition fees mekielewa.
  4. Mzalendo Imara

    MSAADA WA KIMAWAZO WANA JF

    Nahitaji kujiendeleza but baada ya kuleta vigezo kusoma degree ni kuanzia GPA 3 na mimi nina 2.9 nimekosa vigezo nahitaji ushauri wenu nifanyeje nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mzalendo Imara

    Habari wana jf Nilikuwa nahitaji kujiendleza but baada ya kuleta vigezo vipya vya GPA ya 3 nimekosa vigezo vya kupiga bachelor ushauri wenu nafanya nini ili niweze kujiendeleza. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom