Search results

  1. Mzalendo Imara

    Ujenzi wa nyumba kubwa ya familia kwa Morogoro

    Habari naomba kujua cemrnts namba 42.5 R camel inaweza toa tofari mingapi?
  2. Mzalendo Imara

    Msaada wa Admission letter

    Mbona pesa nyingi sana.
  3. Mzalendo Imara

    Msaada wa Admission letter

    Ni ngumu mkuu kuku patia admission letter ukisha confirm naona wanatuma taarifa TCU maana niliomba koz mbal mbal vyuo tofaut me confirm NIT.
  4. Mzalendo Imara

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Kuna rafiki yangu kila akiomba course ya foundation ana kosa na vigezo anavyo ana D S S advance?
  5. Mzalendo Imara

    Msaada wa Admission letter

    Habari wana JF?Mim ni mwajiriwa kada ya Elimu nilikuwa mechaguliwa bachelor degree in road and railway transport logistics management(NIT), Shida yangu kubwa ni kupata admission letter ya chuo tofaut ya NIT ambayo ime andikwa kozi ya bachelor degree in chemistry and mathematics ili niweze kupata...
  6. Mzalendo Imara

    Maombi ya kufahamishwa kipengele cha direct payments to the students Chuo cha NIT

    Habari wana jamvi nilikuwa naomba kupewa elimu kidogo kipengele cha direct payments to the students chuo cha NIT nimeshindwa kuku kielewa kabisa , lakini kipengele cha tuition fees mekielewa.
  7. Mzalendo Imara

    Selection form five

    Levymzalendo@yahoo.com
  8. Mzalendo Imara

    Selection form five

    Naomba list jamaneee
  9. Mzalendo Imara

    Nifanyeje ili niweze kusomea Kilimo baada ya kushindwa gharama za Engineering?

    Mkuu usikae poteza muda somea ualimu upate kwanza fani,kwa masomo yako na matokeo yako upo vizuri,kupata kazi shule private na huo unaweza kuwa mtaji wa wew kwenda kusomea kitu unachotaka koz ukihifadhi mshahara kwa muda wa mwaka na nusu unapata Ada ya miaka 3 engineering course. Sent using...
  10. Mzalendo Imara

    MSAADA WA KIMAWAZO WANA JF

    Asante mkuu vipi iyo inaweza ikaniruhusu ni badili kozi maana nipo Elimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mzalendo Imara

    MSAADA WA KIMAWAZO WANA JF

    Nahitaji kujiendeleza but baada ya kuleta vigezo kusoma degree ni kuanzia GPA 3 na mimi nina 2.9 nimekosa vigezo nahitaji ushauri wenu nifanyeje nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mzalendo Imara

    Habari wana jf Nilikuwa nahitaji kujiendleza but baada ya kuleta vigezo vipya vya GPA ya 3 nimekosa vigezo vya kupiga bachelor ushauri wenu nafanya nini ili niweze kujiendeleza. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom