Search results

  1. Abbitto

    Utapeli wa mabati Buguruni

    Shukrani kwa elimu umetutoa tongotongo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Abbitto

    Utapeli wa mabati Buguruni

    Aiseee nimepata somo hapa,mtu ukiwa hujui unapigwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Abbitto

    Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Ni mfanyabiashara yupi kwa kiwa ngo gani anatakiwa awe na mashine ya efd Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Abbitto

    Changamoto gani umeziona katika biashara ya kuchangiana? Partner business

    1.Wengi sio waaminifu unakuta anakuzunguka labda kitu cha buku atakuambia buku mbili kiufupi unakuwa umenunua wewe 2.kutokubaliana kimawazo Labda wewe ungependa mfanye hivi au msimamie biashara hivi yy anaona hapana Mfano mnalima wote yy anaweza shauri tuweke mtu tu asimamie lkn ww utataka...
  5. Abbitto

    Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    Unatuletea chai hapa Kunywa mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Abbitto

    Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Miaka 38 Umeshindwa kulipa Kodi Unakaa kwa rafiki yako Unategemea mali ya baba Ngachoooooka[emoji3525] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Abbitto

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hiyo ya ugali kuwa online vhiboko[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Abbitto

    Uzi wa vyakula tu

    Mmh kuku Kama woteee siku mojamoja kujilipua sio mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Abbitto

    Uzi wa vyakula tu

    Napenda chamaki nilikosaga tu mwanaume wa mwanza Mahari ingekuwa chamaki Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Abbitto

    Uzi wa vyakula tu

    Kwa misosi hii corona ikajipange Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Abbitto

    Uzi wa vyakula tu

    Nyama ya ng'ombe au kuku Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Abbitto

    Uzi wa vyakula tu

    Wale wapenda maboga wenzangu Boga la nazi Usipime[emoji14][emoji14] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Abbitto

    Wajuzi wa Magodoro mazuri, msaada wenu tafadhali

    Nunua vitafoam yenye spring japo bei imechangamka lkn zuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Abbitto

    Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

    Sio wote jamani wapo ndugu wazuri tu ila asiwe ndugu njaa Akiwa vizuri yy mwenyewe hata mawazo atakayokupa yatakuwa mazuri Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Abbitto

    Mishikaki ya Nemba: Maoni na Ushauri

    Kwa hayo matumbo[emoji849][emoji849] Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Abbitto

    Mishikaki ya Nemba: Maoni na Ushauri

    Sema wewe mpaka naona gere [emoji849] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Abbitto

    Mishikaki ya Nemba: Maoni na Ushauri

    Hiyo m6 alikuonyesha au alikusimulia Uhondo wa ngoma ingia ucheze Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Abbitto

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Elekeza unakopatikana na aina gani ya samaki maana wa magamba wako wengi Au labda Kama unataka ufanye biashara na mtu mmoja sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Abbitto

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Kumbuka ndo anaanza biashara Biashara yenyewe dagaa wa kukaanga Asifungue ofisi kwanza mpaka apate mzunguko mzuri wa biashara asijepoteza hela ya kodi bure Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Abbitto

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Hiyo bei kwa mwanza kubwa sana hapo unapigwa na hutapata faida. Kuna sehem nakuelekeza nenda mwenyewe ukaone bei maana zinabadilikaga ila haifiki hiyo 65. Unaenda urafiki pale wanapouzaga mitumba na mbegi ,mwisho kabisa Kuna barabara ya vumbi unaenda moja kwa moja mpaka sehemu Kuna kidaraja...
Back
Top Bottom