Search results

  1. U

    Inaniuma lakini sina jinsi ...nifanye nini?.

    Habari wana jamvi: leo tena nimekuja na jambo hili linaloniumiza moyo sana lakini sina namna ya kuepukana nalo. Mimi ni kijana wa kiume, Nina rafiki yangu wa kiume tuliyodumu katika urafiki wetu huo zaidi ya miaka kumi sasa, Tulikutana katika maisha ya kawaida yeye akiwa mwalimu wa shule ya...
  2. U

    Kipi kina ladha zaidi , kuchungulia na kuona live?

    Bado nakuhitaji maana wewe namkubali ukiwepo panachangamka
  3. U

    Kipi kina ladha zaidi , kuchungulia na kuona live?

    Sasa hapo safi Joanah ndiyo maana nakupenda bure kwa uelewa wako
  4. U

    Kipi kina ladha zaidi , kuchungulia na kuona live?

    Nipe jibu muda ulinitumia kuandika ungeshajibu ukaendelea kupumzika
  5. U

    Kipi kina ladha zaidi , kuchungulia na kuona live?

    Habari wana jamii poleni kwa uchovu wa mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku. Lakini pamoja na uchovu mlionao napenda pia tujadili juu ya swali hali na ufafanuzi wake ,huku nikizingatia kwamba wote tusomao swali hili tumeshawahi kuchungulia na kuona moja kwa moja kitu chochote kile. Sasa...
  6. U

    Ni yupi mwenye mapenzi ya kweli?

    Kwanini unahisi mwanamke anapenda zaidi elezea/fafanua.
  7. U

    Ni yupi mwenye mapenzi ya kweli?

    Kwani wewe hujawahi kupenda ? Kwanini usieleze na kuyafanya ninachoamini wewe napenda mjadala uwe hivyo...
  8. U

    Ni yupi mwenye mapenzi ya kweli?

    Habari wana jukwaa . Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika. Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ? Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini...
  9. U

    Kuwa na mpenzi kunahitaji makubaliano au umri unaofanana?

    Habari ya majukumu wana jamvi ? Nimekuja mbele yenu na makala yenye kichwa cha habari hapo juu. Nimekuwa nilisoma na kufuatilia makala mbalimbali za mapenzi na mahusiano, lakini mpaka sasa bado ninamkanganyiko wa mawazo kuuna wakati nilisoma mapenzi mazuri yanahitaji kufanana au kukaribiana kwa...
Back
Top Bottom