A real good opportunity for some of us who know the "knowhow" of colluding with your government to organize grand corruption and fraud. We are planning to meet JK to discuss with him so that his government gives us a share of "stimulus package" from the tax payers money!
1. Eti ameenda kumpa pole rahisi!? Pole anapewa leo baada ya kupona?
2. Ukizingatia hali ya sasa ya taharuki nchini kuhusiana na skendo ya fedha za umma "zilizochotwa" toka katika acount ya escrow iliyokuwa BOT na kupitishwa katika benk ya Stanbic na Mkombozi inayomilikwa na hilo kanisa...
Nani amewapa hawa WATOTO WADOGO hizi silaha tena za kijeshi na lengo la kuwapa hizi silaha lilikuwa ni lipi hasa? Sheria za nchi yetu na za kimataifa zinasemaje kuhusu matumizi ya silaha za kijeshi hasa kwa watoto?
Wanasiasa fanyeni siasa zenu kistaarabu kwa kuzingatia sheria ili kulinda amani...
They say there are full professors and fool professors! See how this arrogant fool professor is dirtying himself in shit thinking that he is cleaning himself! Telling that he was giving "bribe money" to some guys but somebody was signing on their behalf is just as good as adding another criminal...
Kwa Tanzania yetu ya leo ukiitwa kwenye shughuli ya kiserikali yenye malipo halafu ukaambiwa utalipwa daada ya shughuli basi jandae kwa mawili: 1. Kudhulumiwa 2. Kulipwa kwa kuchelewa saaaana na tena baada ya kutumia muda na grarama kubwa sana kufuatilia.
Ni wazi kuwa hakuna mawasiliano mazuri baina yao! Kama nia ya kila mmoja kufanya taratibu zake za uhamisho bila kumwambia mwenzie ilikuwa ni kwa lengo la kumsuprise mwenzie basi wanastahili kupongezana maana wote wamefanikiwa na kila mmoja wao na hata mimi nimekuwa suprised!
Ugonjwa wa ebola ni moja ya magonjwa hatari na ni rahisi sana kuenea toka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu anayemhudumia. Kwa matintiki hiyo, daktari anayemhudumia mgonjwa wa Ebola anajiweka katika mazingira hatarishi ya yeye mwenyewe kupata maambukizo. Je, serikali imewawekea utaratibu gani wa...
Hivi ile ndege ndogo ya mizigo toka Kenya iliyoanguka katika mbuga ya Serengeti mwanzoni mwa mwezi wa 9 baada ya kuruka toka Mwanza ilikuwa imebeba nini?
Mbunge akimaliza kipindi chake cha ubunge anapewa 100% ya mafao yake kwa mkupuo lakini mfanyakazi wa serikali anayechangia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, pamoja na kupunjwa mafao, awe anapewa 25% tu ya mafao yake kwa mkupuo, mengine (asilimia 75) yanabaki kwenye mfuko na anapewa kidogo...
Baadhi ya mambo na maamuzi yanayofanywa na viongozi wa kitanzania muda mwingine ukielezwa unaweza dhani unatazama commedy kumbe ni real life story ya nchi fulani huku duniani.
Je, hamna ushahidi? Watumishi wenu waliokiuka utaratibu wa ajira na kuendekeza undugu ("nepotism") kama ilivyothibitishwa na tume ya uchunguzi iliyoundwa na katibu mkuu wameshachukuliwa hatua?
Rais ndiye alikuwa mpatanishi katika mazungumzo kati ya UKAWA na TCD kuhusiana na mkwamo wa mchakato wa Katiba mpya yaliomalizika juzi na maamuzi yake kutangazwa jana. Cha kushangaza ni kwamba tangu maamuzi hayo yatangazwe, kumekuwepo na mjadala mkubwa sehemu mbalimbali lakini tofauti na awali...
Mabaki hayo kupatikana Tanzania ni sifa moja kwa nchi yetu lakini kumbukumbu zinaonyesha kuwa huyu sio dinosauria wa kwanza kupatikana Tanzania. Kuna Dinosauria mkubwa sana alipatikana kule Tendaguru mkoani Lindi miaka ya 1906 na hadi leo mabaki yake yapo makumbusho ya Ujerumani, wao wanakula...
Ifweero unajua kuwa Rais wa Tanzania huamuliwa na Watanganyika na si Wazanzibari? Kwa mujibu wa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Tanzania bara (=Tanganyika) ina jumla ya watu 43,625,354 wakati Zanzibar ina jumla ya watu 1,303,569. Sina nia ya kuwapuuza wazanzibari kutokana na uchache wao bali ni...
Lengo la kubadilisha noti ya shilingi 500 kuifanya sarafu ilikuwa ni kutokana na noti hizo kuchakaa mapema kutokana na mzunguko mkubwa. Sasa kama hii sarafu ya 500 ambayo tunategemea pia itakuwa na mzunguko mkubwa imetengenezwa kwa viwango duni kama ulivyoandika basi itachakaa mapema zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.