Search results

  1. talaimarishari

    Tukutane hapa tulioishi familia za kitajiri ila sasa maisha yametuchapa

    Ila kweli kuna wazee waajabu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. talaimarishari

    Tukutane hapa tulioishi familia za kitajiri ila sasa maisha yametuchapa

    shadownet, Pole mwanangu ila kuna maswali yananijia kichwani baada ya kusoma uzi wako Kwanza umesoma shule nzuri zote from the ground maana yake ww utakuwa smart kwa kiasi kutokana na elimu bora uliyoipata Pili wazazi wako wote wawili wapo vizuri kwa maana kuwa wana connection kubwa. Sasa...
  3. talaimarishari

    Limbwata la gundi na kamba

    Kaka wizard Mshana Jr heshima yako Hvi mshana unajua uchawi wa radi?? Nataka nijue kitu hapo, there is something happened, i relate it with.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. talaimarishari

    Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    We share the situation even not exactly same Sent using Jamii Forums mobile app
  5. talaimarishari

    Mbunge Lameck Airo agawa pipi na bazoka kwa wagonjwa wodini

    Bibria Freash #tayari eti!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. talaimarishari

    Hatimaye serikali ya awamu ya tano imeondoa UKIMWI Tanzania

    Kama twakimu zinavyosema maambuziki mapya kila siku ni watu 200 Kwa wiki 200x7. = 1400 people Kwa Mwezi. 200x30. = 6,000 people Kwa mwaka. 200x365 = 73,000 people Ukimwi upo chukua tahadhari. Sorry Adumu jiwe
  7. talaimarishari

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    No sweet like nyeto cha msingi usiwe addicted . Over
  8. talaimarishari

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Ushauri mzuri Afanyie kazi uliyomshauri ataona changes Au wakati unashave usitumie wembe maana huwa unakwangua sana tumia shaving machine na hayo mafuta. Kama tatizo halitoisha basi Utakuwa na tatizo linalohitaji msaada wa kitaalam zaidi
  9. talaimarishari

    Hivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke

    Hapa kuna masters kweli! Kama ipo nawaonea huruma hao students,
  10. talaimarishari

    Ili kurudisha Uzalendo, Media zote nchini ziwe zinaungana na TBC katika kupata Habari. Iwe ni LAZIMA kufuatilia

    Maendeleo hayahitaji Kuonyeshwa, kutangazwa au kuyanadi ila maendeleo hujipambanua, hujitangaza, huonekana, na kujidhihirisha yenyewe bila kelele.
  11. talaimarishari

    Nahitaji ushauri: Nahisi nimekurupuka “kumhifadhi” huyu dada mjamzito

    We fala [emoji3][emoji3] unabusara sana nimefatilia reactions za comments zako sijaona mahali umekosea, na nikuhakikishie hata hili jambo kwako litaenda kuisha vizuri bila kuacha hata alama na athari yoyote hasi kwako, Amini. Kwa busara zako ni imani yangu utakuwa umepata mwanga na hatua gani...
  12. talaimarishari

    Tanzania umefika wakati tuwe na salamu yetu ya kitaifa

    Lugha tayari tunayo na uzuri inajitosholeza vizuri kwa kiasi chake. Sioni maana ya kuleta complication kibao.
  13. talaimarishari

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kabla ya comment uliishiaga la ngapi vile tena!!
  14. talaimarishari

    Huezi amini, Hizi ndo Adha na Kalaa kuu wakati wa Tendo la Ndoa kwa Mwanaume na Mwanamke!

    Baada ya kuona neno kalaa tu, siwezi soma tena maana najua utumbo utakuwa mwingi!!
  15. talaimarishari

    Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

    Mimi nilipikaga chapati za kusukuma hizo, sijui nilikosea wapi hadi leo maana ile chapati sahani ya bati ni nyepesi kwa jinsi ilivyokuwa ngumu, jikoni badala ya kuiva inataka kuungua kama kuni kwenye frypan. Yaani ikirushwa ikampitia mtu shingoni, inapita na shingo mazima. Hadi leo sijawah...
  16. talaimarishari

    Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    Mbona kama ulichokiandika hakina uhusiano. Kila kimoja kinajitegemea. Tafufa njia nzuri/ mfano mzuri unaouhusianisha mambo then ulete tena content yako.
  17. talaimarishari

    Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Alaf kitu kingine kupata ngwengwe sio kitu kirahisi kiasi hicho. Kupata ngwengwe ni process, kinachomsumbua mshikaji ni wasiwasi tu, na hiyo hutokeaga kwa watu wengi tu pale ambapo unakuwa umepita njiaisiyo salama. Mm nashauri jamaa akapime, atakuja hapa mwenyew na kusema hana kitu bali...
  18. talaimarishari

    Msaada wenu wakuu

    Ndiyo inawezekana na ni simple tu ila mpaka upate watu wenye access za kufanya huo udukuzi. Kama na ww unataka kumdukua nitafte, i will divert all his calls to you without him notice it.
  19. talaimarishari

    Ni sahihi mpenzi wa mtu kuongea kwa simu usiku na rafikiye wa kiume kwa muda mrefu?

    Siyo kukutambua tu baby care, KY, mafuta ya nazi Visicheze mbali[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom