Search results

  1. GEOAFRICA

    Maigizo

    yap yap
  2. GEOAFRICA

    Maigizo

    Habari zenu kila mmoja samahani naulizia kikundi cha kujifunza sanaa ya maigizo kinacho patikana maeneo ya mikocheni
  3. GEOAFRICA

    Siri ya ujasiriamali kwa vijana

    asante sana kwa ushauri ila ningependa kujua na sababu pia
  4. GEOAFRICA

    Siri ya ujasiriamali kwa vijana

    asante sana kwa mchango wako mzuri na pia ujasiriamali ni entrepreneurship kama ulivyosema
  5. GEOAFRICA

    Siri ya ujasiriamali kwa vijana

    HELLO! Leo naomba tusaidiane suala moja, ni ukweli usio pingika kuwa ujasiriamali ni jambo ambalo linaweza kuokoa vijana katika tatizo hili la ukosefu wa ajira lakini kibaya ni kwamba vijana wengi hawana elimu zaidi juu ya ujasiriamali. elimu kama vile 1. ujasiriamali ni nini 2. sifa za...
  6. GEOAFRICA

    Pendeza na mwonekano wa Kiafrika

    asante sana ntaufanyia kazi ushauri wako nimeupenda sana na sito uacha
  7. GEOAFRICA

    Pendeza na mwonekano wa Kiafrika

    bei ni 30000/= kila moja
  8. GEOAFRICA

    Pendeza na mwonekano wa Kiafrika

    KWA MONEKANO MZURI WA KIAFRIKA USIACHE KUTOA ODA YAKO KUTITIA 0678425645
  9. GEOAFRICA

    Pendeza na mwonekano wa Kiafrika

    yes kwa wakazi wa Dar es salaam tunafanya delivery bule kabisa
  10. GEOAFRICA

    Pendeza na mwonekano wa Kiafrika

    Pendeza na mwonekano wa Kiafrika kwa nguo kalikutoka GEOAFRICA DESIGN kwa bei nafuu kabisa tunafanya delivery ya bule kwa walio ndani ya Dar es salaam pia tunatuma mzigo nje ya mkoa 0678425645
  11. GEOAFRICA

    Nianzie wapi kutafuta masoko ya nje?

    asante sana ndugu yangu kwa masaada wako mzuri sana na nashukuru kwa kunionyesha njia na mwanga asante sana
  12. GEOAFRICA

    Nianzie wapi kutafuta masoko ya nje?

    sawa sawa naanza kuweka sasa hivi
  13. GEOAFRICA

    Nianzie wapi kutafuta masoko ya nje?

    asante sana kwa ushauli ntaufanyia kazi ipasavyo
  14. GEOAFRICA

    Nianzie wapi kutafuta masoko ya nje?

    Habari za humu jamani Naombeni msaada wenu. Ninafanya biashara ya nguo za vitenge yaani nabuni nguo kisha nauza kwa watu kwa rejareja. Ombi langu ni kwamba najaribu sana kupanua biashara yangu lakini sijui wapi nianzie. Natamani niwe na masoko sehemu mbalimbali kama vile Zanzibar, Uganda na...
Back
Top Bottom