Search results

  1. Thefreedom

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mmmh Kiukwel me nimepata mzigo wangu tena bila usumbufu leo , niliagizia ALFA NETWORK CARD $118 nimeipata
  2. Thefreedom

    Kuna watu bado wanatumia SHA-1 ku encrypt passwords?

    Md5 , 21centry? Hapana aseeeeeee
  3. Thefreedom

    Kuna watu bado wanatumia SHA-1 ku encrypt passwords?

    Sure [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
  4. Thefreedom

    Kuna watu bado wanatumia SHA-1 ku encrypt passwords?

    Ni sawa , ila md5 nazo ni rahisi sana kuzicrack na kuna online tool nyingi sana ambaxo zinacalculate hizo md5 , labda uniambia md5 hard salted one . Hapo sawa ingawa nazo zinaweza kuwa cracked ila inatake time. Best option ni kutumia Bcrypt hash , yani hixi ndio funga kazi kwasabb huwezi...
  5. Thefreedom

    Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

    Noma sana NOVA 3 near orbit vanguard alliance
  6. Thefreedom

    Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

    Unajua bro kwann nimesema NOVA3 ni kali ?? Pubg lina constant mission yani unajua kabisa nikifika sehmu fulan kuna adui au kuna kitu fulan Ila hio haipo kwa nova 3 yani hilo game kama ulipita jana ukakuta sehmu fulan labda kuna snippers wa kiarabu kesho huwakuti yani unawinda na una windwa...
  7. Thefreedom

    Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

    Wewe game kali na zinachallange ziko nyingi sana Umecheza NOVA 3 orbit version Hilo game ni kaliii yani kama muvie vile ! Kiukwel nalipenda kwasabab mission ziko nyingi na challenge za kutosha , snipers na nk Watch demo hapa
  8. Thefreedom

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Uzuriii naipenda kwasabb naweza pia nika access vps server zangu zote
  9. Thefreedom

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Me huwaga natumia Document na download takataka zoteeee then nazimove kwneye itune music
  10. Thefreedom

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Hahahahaha umeongea vizr !!!! Na ni ukwelii me natumia iphone sijaona kitu ambacho nilikuwa nafanya kwenye android nikashindwa services zangu ziko vile vile .... sema th ndo nafurahi hii platform yao na mfumo endesha ios 13 na 14 ziko poa sana very smooth
  11. Thefreedom

    TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

    Hahahahhaa kiukwl sijawahi pata upuuuzi kama niliokuwa nauona kwenye tigoooo na halotel wako vzr sana speed ni [emoji91]
  12. Thefreedom

    TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

    Nimehama halolel nw niko zantel yani mpaka najiona falaa kwann sikuhamia zantel mda wote natumia halotel Zantel wako vzr sana kuanzia bando mpka speeed yao
  13. Thefreedom

    Apple: Wameshindwa au hawajui hii weakness kwenye simu zao

    Wewe jamaaa bana unajua lazima useme au uweke madhara ndo uje useme kama hizo issue mbili ni hatar kwa users Toa kwanza effects!!!! Hao apple wenyewe wanajua sana ilo swala ila wameona huwez fanya lolote la kutibua data za user. Na sio apple tu hadi androids nyingi wameweka hio kitu
  14. Thefreedom

    Powerful encryption, every hacker, pentestER, researchers must know (bypass all antivirus)

    Sijakaaataaaa ila sasa anaglia kejeli za kwanza alizokuja nazo .... mtu kama kwenye uandishi kakosea unamwambia bana sehemu sio andika hivoo lakn yeye kaja kwa style ambayo ni wazi ni kucrash uzi mzima .... unajua umu kuna begginer wengi sasa watajifunza nn kwenye uzi kama wewe umeucrush ...
Back
Top Bottom