Search results

  1. M

    Msaada: Seedling Trays/ Trei za kitalu

    Naomba msaada mwenye kujua wapi ninaweza kupata seedling trays au trei za kitalu kwa ajili ya kuoteshea mbegu za mbogamboga na matunda. Asante.
  2. M

    Ada kupanda UDSM imekaaJe kwa watoto wa Makabwela?

    Tangazo Nmesoma na Kulielewa, sio utaratbu wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuongea ktu bila kua na uhakika.. Naomba urudie tena na kwa umakini mkubwa.. Ukshndwa asa hv Kweli ww ni Kchwa Ngumu!! Na sijui ni ilikuaje ukafanikiwa kuchaguliwa kujiunga Chuo !? Na hio tena sio 1.97 ni...
  3. M

    Ada kupanda UDSM imekaaJe kwa watoto wa Makabwela?

    Hivi una uhakika na unachoongea kwel!! na Je' hilo Tangazo ni umelielewa vzuri kweli wewe? Ni vzuri ukaulza kwanza kuliko kumek Conclusion mwenyew!! UDSM Sio IFM Hamna michango ya kufkia 1.9.. Tuition ni 1.3 Kwa B.Com wote except Accounting major na 1.5 kwa B.Com Accounting na hyo sio Lazma...
  4. M

    Ada kupanda UDSM imekaaJe kwa watoto wa Makabwela?

    Karudie Kusoma tena mwana.. 1.5 Ni kwa Accounting peke na imekua hvo miaka yote, Bcom nyngne zote ni 1.3...
  5. M

    Kwa waliochaguliwa UDSM

    hakuna ktu kama hicho unless ni Disabled.. Main Campus ni zali lako tuu
  6. M

    Msaada wajameni

    Siku za kusoma kwa semester mbil ni 238 Mabibo hostel ni 250/= na Main Campus ni 430/= kwa siku.. na hzi hulipwa kwa semester ikiwa pamoja na Caution Money ya 10,000/= kwa first year ambayo inakua MABIBO - 41,500/= kwa semester ya kwanza na 29,750/= kwa semester Ya pili Main Campus Inakua...
  7. M

    Msaada please..kwa anayeifahamu bei ya form ya ku-comfirm chuo cha UDSM

    Nashukuru ndugu, nmekuelewa na ntajitahd.. hakuna kitu km hcho kama ni umepata UDSM Fanya kusubiri Joining Instruction form pamoja na admission Letter na huwa zinaanza kutolewa chuo pale 2 weeks before hamjafungua. First Year mtatakiwa Kureport chuo Jmosi Tar 01/10 kwa ajili ya Regstration...
  8. M

    Msaada please..kwa anayeifahamu bei ya form ya ku-comfirm chuo cha UDSM

    Nani kakuambia kuna Form ya Kuconfirm na Inatakiwa Ulipie!! hiv uko sawa kwel ww?
  9. M

    Bachelor of commerce in tourism and hospitality management.

    Ni iko vle vle tuu, First Yia wote Bcom ni watasoma pamoja na ni kozi zlezle, Kuanzia second yia ndo watakua tofauti.. Bro Usiwaze, Ni iko vzuri wapo jamaa wanasoma Hio ktu tunawaona bt km utataka kubadlsHa na una sifa za kusoma kozi nyngne km Accounting, Finance, marketing au HR utaweza, UDBS...
Back
Top Bottom