Habari zenu wanajf,mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa kujiunga udsm kwa mwaka huu wa masomo. Naomba kwa yule anaefahamu anisaidie nifahamu chuo kitafunguliwa lini kwa first year?,pia joining instruction forms wanatoa au utaratibu wa kuzipata uko vp?,pia upatikanaji wa vyumba mabibo au main campus uko vip?. Naomba kuwasilisha