Search results

  1. D

    SERA YA ELIMU KUPITIWA UPYA

    Wakuu.. sera ya elimu kupitiwa upya. je wewe unahisi kutakuwa na mabadiliko gani? karibu tuzungumze. chanzo cha habari: Dira TV
  2. D

    Muache haka katabia

    Habari wa kuu... kumekuwa na katabia ka watu kupostiana watsapp status, hivyo kupelekea watu kurequest sana mara naomba namba ya huyu dem mara namba ya huyu bro na hata wakati mwingine bila salam. Rai:Tusalimiane kabla ya kuomba namba.
  3. D

    University offer vodacom

    Habari wakuu... Hivi hivi vifurushi ni ktk menu yangu tu au hata kwa wengine, maana huu sio msaada sasa kwa wanachuo inamana kwa wiki kifurushi cha chuo ni 3000/=? kiukweli nitashindwa kula ugali hapa mabibo hostel.
Back
Top Bottom