Hata mimi nashangaa. Marekani wanatuletea chakula kutoka "wakulima" wao?
Wangetumia hao "wakulima" kumaliza food deserts huko kwao badala ya cheap propaganda. Halafu kwanza wanalimaga nini kama sio magmo tu? Idiots.
Hahahahhahah.... hunidanganyi. Nazijua hizo nchi vizuri sana.
Tena Tz inaafadhali kushinda nchi nyingi duniani kwa kuwa hatujakumbatia sana ubepari usio na mipaka.
Unajua hali ilivyo Europe na North America? Do you know why they feel trapped? Do you know why they're almost suffocating? Kwanini...
Wewe ndio umeandika cha maana. Hamna hoja ya kujadili.
Suala la ukosefu wa ajira ni mtambuka, tutazunguka weee lakini hata tufanyeje, kutokana na mfumo wa dunia (neo-liberalism) asilimia kubwa ya watu (hasa vijana) ni lazima wakose shughuli za kuwaingizia vipato.
Ilitabiriwa janga hili...
Lol...ndio ni subjective, ila unaweza usipende kitu lakini ukajua ni kazi nzuri ya sanaa.
Hiyo Jua Kali nimeiona na bado sana haijafikia kiwango cha kusema eti ni tamithilia kali. Umeshawahi kuona tamthilia kali?
Ikiwa wameshindwa tu kwenye uandishi wa matukio ambao ndio msingi wa hii sanaa...
We acha tu!
Script zao mbayaaa hawajui kuigiza. Yaani ni kichefu chefu. Kazi kubadilisha masebule tu no action.
Mara 200 maigizo ya zamani ya ITV kuliko hizi aibu za siku hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.