nimenusulika na ukimwi mara 6 kwanza mwaka 2001 nikua napiga demu mtaani nikasafiri mkoa narudi naambiwa demu alizaa mtoto kafa ila afya ya demu tia maji washikaji wananiambia demu kaungu na bwana alie zaa nae yuko kitandani akili ikaruka,nikaama mkoa 2006 nikawanapita na raia mmoja kumbe...
Wakuu nisiwachoshe mie ni fundi wa simu ninahutaji mtu anisadie hata pakufanyia kazi au tufanye kazi nalazimika kuomba huu msaada nimekutana na mtihani wa kusimbewa kilakitu nilivyokua nimesafiri.
Nimerudi nyumbani patupu yaani bora ningeachiwa vitendea kazi lakini vyote vimekombwa.
Sasa...
Niko chimbo nakusanya mtaji baada ya psg kunilaza mlango wazi Jana!!italia 1.5 wote leo nawaweka nikimalizia na Chelsea alafu tunaangalia tu huku tunakandamiza k-vant baribi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.