Search results

  1. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Me naudhika design ya ma vituo ni ya kawaida sana, km ile ya mbagala manyotanyota, lkn airport wangepiga new and modern designs aisee
  2. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wadau Hii kitu nimeona kabisa inawezekana kujengwa pale inapo anzia fence ya airport ukiwa unatoka tazara pana mwinuko flan hivi. Nadhani lazima tuwe na vitu mbalimbali muhimu na vya kupendeza.
  3. diamond d

    Ushauri kuhusu Terios Daihatsu 1999

    Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu. Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta
  4. diamond d

    Qatar world football finale/finalists: religion concepts revealed?

    Kuungama kunaenda sawa na Kutubu, kuungama ni kukiri kifanya kosa, kutubu ni kuacha na kitorudia kosa. So usifikiri mambo ni mepesi hivyo
  5. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Oii hivi hizi Train zinakaaje kwanza nimechelewa mada wadau, ni utangulizi au ndio mzigo wenyewe
  6. diamond d

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nilijua tu hivi ndio vitakuja daaaah
  7. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mjihadhari vinywa vyenu
  8. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huoni wanakula
  9. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yaani huyo mwenye picha ameagiza hizo gari kutoka arusha. Ndio nafikiri hivyo
  10. diamond d

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    DAR CITY[emoji16][emoji16][emoji16]
  11. diamond d

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sikia sasa Dar ina majengo ya kuanzia Meter 61 yapo 37 Nairobi yapo 33[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ONA HAPO[emoji116][emoji116][emoji116]
Back
Top Bottom