Search results

  1. Kiwangwa Son

    Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

    Unamkumbuka hata kabra chuo hujaripoti, maliza kwanza chuo halafu upepo ukikaa fresh ndo uje ulete mrejesho
  2. Kiwangwa Son

    Windows 10 Lite

    Mkuu nime install win 10pro lite naona imekaa vizuri tuu bila kurudisha drivers naona imenyooka tuu japo nilifanya backup kwa double driver kabla ila bado sija restore, vipi kuna ulazima wa kurestore??
  3. Kiwangwa Son

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Asante mkuu ila naona umebase sehemu moja tu kwenye mapenzi vipi sehem nyingine maana wengine huko juu umechambua vipengere vingi. Ulisema utakazia zaidi sehem kama.. Tabia zake Sehemu yake ya hisia Jinsi ya kumfanya azidi kuwa karibu na wewe Mtizamo wake kwako Mtizamo wako kwake Unachopenda...
  4. Kiwangwa Son

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mwanaume nimezaliwa 17-05 jina I Mwanamke amezaliwa 21-05 jina H Tupo kwenye mahusiano tuu wapenzi. Mkuu usiniruke tena aisee. Mim mwanaume Rakims
  5. Kiwangwa Son

    Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

    Weka picha ya hicho kidole cha kati ulichokatwa tukione
  6. Kiwangwa Son

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mkuu naomba usiniruke Mimi mwanaume kuzaliwa 17/05 jina ( I ) Mwanamke wangu kazaliwa 21/05 jina ( H ) Uhusiano ni mpenzi tu bado uchumba haujawa rasmi.. Mkuu Rakims naomba unichambulie kwenye nyanja zote muhim tafadhari..
  7. Kiwangwa Son

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi mwanaume kuzaliwa 17-05 jina linaanza herufi I Mwanamke wangu amezaliwa 21-05 jina linaanza herufi H Uhusiano ni mpenzi tunaishi pamoja sijamuoa bado Mimi ni mwanaume
  8. Kiwangwa Son

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi ni mwanaume nimezaliwa 17-05 Jina langu linaanza herufi (I) Yeye mwanamke amezaliwa 21-05 Jina lake linaanza herufi (H) Mkuu Rakims naomba uniangalizie katika nyanja zote, kila idara mkuu.. Nawasilisha..
  9. Kiwangwa Son

    Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    simu yangu upande wa setting hakuna hiyo option
  10. Kiwangwa Son

    Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Anaejua code za ttcl nisipatikane hewani ila text zije anisaidie
  11. Kiwangwa Son

    Malezi ya watoto wadogo, yahitaji umakini mkubwa

    Hivi ni kweli nyoka anaweza kucheza na mtoto na asimdhuru, nasikia kuna baadhi ya nyoka huwa wanaweza kucheza na watoto. Hiyo kitu ni kweli au
  12. Kiwangwa Son

    Ninaipenda style ya spooning lakini simalizi dakika 5, nifanyeje ili nidumu?

    Mzee najitahidi lakini wapii naona nikitaka kuwaza sijui mazombi sijui misiba najikuta ndo naongeza spidi unakuta manzi nae anakushikilia yan tightly aisee nalimwagia humohumo yani dah, nielekeze nianze na zoezi la kuwaza nin mzee
  13. Kiwangwa Son

    Ninaipenda style ya spooning lakini simalizi dakika 5, nifanyeje ili nidumu?

    Hivi mnawezaje kuhamisha mawazo mi mbona siwezi
  14. Kiwangwa Son

    Nimepona tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia Viagra

    Usiache kurudi uje uokoe jahazi
  15. Kiwangwa Son

    Laptop yangu HP baada ya kuizima haiwaki tena na haipeleki chaji

    Nikweli mkuu ningehangaika bure ningepigwa pesa na mafundi wetu
  16. Kiwangwa Son

    Laptop yangu HP baada ya kuizima haiwaki tena na haipeleki chaji

    Mkuu sijui tatizo huwaga ni nini kwenye hizi hp leo imewaka nimeshangaa maana niliona niachane nayo tu nisiikorofishe. Leo nimejaribu imewaka flesh tuu hadi nimeshangaa..
  17. Kiwangwa Son

    Laptop yangu HP baada ya kuizima haiwaki tena na haipeleki chaji

    bado sijajaribu kubadili ila battery wakati nazima pc ilikuwa na 70 asilimia na niliitumia bila chaji kama 30saa hivi kabla sijaizima ambapo nilivyozima kuja kurudi ndo nakuta hivyo
Back
Top Bottom