Usiku huu kuna baridi kweli pande zetu hizi nyanda za juu Kusini kiwinter kimekolea hatari....
Sasa mtoto wa watu tumafua twa hapa na pale tumenishika sasa rafiki yangu Mkerewe kaja kuniona magetoni (male)
Stori mbili tatu mara anaanza kujizungusha umundani mara ashike simu aiache...me apo...
Ndugu nisome vizuri watt wala sina tatzo nao me nna shida na uyu Mwanaume wasiwasi wangu nikuludisha majeshi kwa familia yake arafu Mimi nkaachwa kwenye mataa uo ndo msala ulipo...cna amani na haya mahusiano kwasababu mawasiliano ya mkewe bado yapo wanawasiliana vizuri tu na kingine ni hawaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.