Search results

  1. M

    Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

    Za asubuhi ndugu zangu, Kwa takribani wiki moja hivi kumekuwa na mjadala mzito ambao umeanzishwa na ndugu yetu,rafiki yetu na mbunge wa singida mashariki TUNDU LISSU. Mbunge huyu kijana na msomi wa sheria lakini asiyekuwa mzalendo wala na utulivu amekuwa akitoa kauli chafu dhidi ya Mh Rais...
  2. M

    Wazazi walio wengi wameathiriwa na Siasa kwenye suala la Elimu

    Hamjambo watanzania, Kumekuwa na Tatizo la namna ya kupokea taarifa,matamko,sera kutoka aidha serikalini ama kwa wanasiasa. Wazazi wenzangu tunakosea sana na hatuiheshimu kabisa ELIMU ama kwa makusudi au kwa kutokujua. Naongea na wazazi wa kijijini,sote tunajua hali ya uchumi ulivyo mgumu...
  3. M

    Jinsi visingizio, malalamiko, ubinafsi na usaliti unavyoimaliza na kuidhoofisha CHADEMA

    Wakuu,nawasalimia katika Bwana! Ni Alhamis nyingine tena,tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu,na uchaguzi ujao wa 2020 ni vema zaidi tukaanza kuangalizia Taasisi zinazotarajia kushiriki katika uchaguzi huo ambazo ni vyama vya SIASA. Moja ya Taasisi hiyo ni...
  4. M

    2020 CCM watashinda kwa urahisi sana kushinda chaguzi zote zilizowahi kufanyika hapa Nchini.

    .tumsifu Yesu kristo,salaam wareko, Ni katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020,wakati vyama mbalimbali hapa Nchini vikianza kufanya mikikati mapema namna ya kuchukua dola. Lakini inasemekana kwamba uchaguzi huo utakuwa ni rahisi mno kwa watawala chama cha mapinduzi kuanzia ngazi ya...
  5. M

    Kwa jinsi shemeji zangu wanavyojirahisisha kwangu, nimegundua ni rahisi sana kuwala

    Salaam,wanajukwaa na heri ya mwaka mpya 2019. Zile stori za watu mbalimbali za namna mashemeji wa kike wanavyokuwa wepesi kuliwa huenda zikawa kweli. Ilikuwa hivi siku ya krismas 25/12/2018 nilitembelewa Nyumbani kwangu na wageni,(ndugu wa mke wangu)wasichana kama watatu hivi...
  6. M

    Evarist Chahali anavyozididi kupotea kuhusu Taaluma yake

    Ndugu Yangu Evaristi Chahali, Ni kijana n:nayemsoma sana kule instagram naheshimu baadhi ya maandiko yake,(lakini sio ya yale yanayohusu mtazamo wa Nchi,sera za Nchi na Uzalendo). Kijana huyu anadai kwamba alikuwa Afisa Usalama Wa Taifa hapa Nchini kabla ya kuacha(kulingana na maelezo...
Back
Top Bottom