Search results

  1. N

    Toyota wish 2003 inauzwa (customized)

    tshs 10.000.00/= ?
  2. N

    Kigamboni kwa Chagani (kwa machangudoa) kunasikitisha

    Maisha bora kila mtanzania yanatufikisha huko kuuzaa mwili
  3. N

    Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

    Kimepimwa na una hati yake, isijeikawa umeshakula fidia ya kuhamishwa hapo kupisha ujenzi wa stend halafu unataka kula na zangu
  4. N

    Makamu mkuu wa shule Embarway Sekondari akamatwa akifanya mtihani ofisini

    Saafi sana Mwalimu huyu aastahili pongezi kwa kujitoa Muhanga kusaidia watoto wa maskini angalau na wao wapige hatua kidogo. Mbona haya mashule yanayomilikiwaa na waheshimiwa mitihani huwa imeshafanyika kwa njia za majaribio ya kawaida na siku ya mtihani wa mwisho huwa ni kuhitimisha tu
  5. N

    Mwanafunzi wa chuo amuua mwanae na kumficha uvunguni

    Jinga wewe kwa hiyo unataka kumtetea huyu mshe--nzi, kwani alipokuwa ana katika kiuno hakujua kuwa kuna kitu kitakatikia ndani.
  6. N

    Maandamano barabara ya Kawawa

    wewe tofauti na mbwa ni mavazi tu lakini akili zinalingana, mbwa kakuzidi kidogo maana anafundishika
  7. N

    Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

    ISRAEL inakusaidia nini katika maisha yako hapa bongo, unakaa kujadili nchi ambayo haina mpango wowote na wewe sana sana ni nchi ambayo siku zote inapanga strategy za kuua watu tu. NAICHUKIA ISRAEL KULIKO NCHI ZOTE DUNIANI
  8. N

    Kuna Haja Sasa Ya Kutoa Kadi Za Mialiko Katika Misiba!!

    Kuna mtu anakupangia kupika vyakula hivyo unavyosema? hicho ni kihelehele chako acha watu wale
  9. N

    Nimepigika leo

    Acha starehe/ michepuko na baki njia kuu hela zitatosha tu
  10. N

    Nauli za Daladala jijini Dar kupanda hadi sh 800; ruti zaidi ya 40 kufutwa

    Sijui nauli ya kwetu CHANIKA hadi KARIAKOO ni kiasi gani
  11. N

    Kilichomuua ‘mtoto wa boksi’ chabainika; wahusika kunyongwa!

    Naona unawapa wauaji jinsi ya kujitetea vipi hili suala halijakukuzsa sana! yaani nina maana hujisikii uchungu aliopata huyo mtoto malaika?
  12. N

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Naona waliochangia kuwa wanafunzi wote waislam na wakristo wavae HIJAB wameshinda hivyo vazi hilo litangazwe rasmi kuanzia primary hadi A-Level. liwe sehemu ya uniform
  13. N

    Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

    wanatumia nguvu za shetani (freemason) ndio maana wanachukiwa sana na mataifa yote, hata wakitaka kupigana vita na nchi yeyote wanamwuliza kwanza shetani kuwa vita hii tutashinda? Akiwaambia ndiyo wanaingia vitani wakiambiwa hapana , wanatulia tu
  14. N

    Ludewa kumekucha: Machimbo ya madini vinu vya Mills njiani kwenda kufungwa toka bandarini

    huo ni utekelezaji waliopewa wachina uwekezaji wa kudumu kusini mwa tanzania kutokana na msamaha wa mtu kunyongwa kwa kisa cha madawa ya kulevya
  15. N

    Wosia wa baba wa Taifa

    tungeendelea kushonea nguo viraaka mpaka leo
  16. N

    Muda mfupi ujao,ukivaa nguo watu watakushangaa.

    Sisi wastarabu tunasubiri katiba mpya kwanza ipitisha SHARIA itakayozuia mavazi hayo, tutapambana na hao wanaoshindilia ma.ta.ko yao kwenye soks mpaka watakoma
  17. N

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    HUU MRADI HAUNA SULUHISHO LOLOTE HAPO DAR HALI ITAKUWA MBAYA SANA BAADA YA kufunguliwa maana watalazimisha kusimamisha magari pande zingine na kuruhusu yanayopita barabara iliyotengenezwa ili wajiridhishe kuwa wamefanikiwa
  18. N

    Treni za umeme na reli za juu kwa juu Dar es salaam..Shuka nayo

    Kwa rasilimali tulizonazo laiti viongozi wetu wangekuwa na uzalendo kama Kagame miaka kumi tu nchi inabadilika kuwa kama ulaya. Production ya dhahabu ya Bulyanhulu mwezi mmoja inaweza kujenga maghorofa yote ya DODOMA, sasa tuna migodi mingapi, Uranium ndo kibao,
  19. N

    Kukimbiza Mwenge Kumepitwa na Wakati!

    Uchawi wa kututawala bila kujijua kuwa anatukandamiza ndio maana alikuwa akiona sehemu fulani wanaanza kumshtukia basi mwaka unaofuata mwenge unalala hapo hapo
  20. N

    Hii namba 0600900, inanipigia kila saa 11 alfajiri

    Kwanini wapige usiku? usipokee maana wana mtego wa kukushtukiza kwamba upigiwe simu wakati una usingizi, assign namba zako zote mlio unaoutambua wewe,
Back
Top Bottom