Una uhakika? Au ndio inasemekana?. Kama huna huo wosia au hata clip ya Mwinyi akisema iyasemayo, basi kaa kimya acha watu wamzike baba yao wanapotaka wamzike kwani ni Baba yao na sio Baba yako. Wewe subiri utatekeleza hayo kwa Baba yako.
Kwani akizikwa Zanzibar utapata hasara gani? Na akizikwa Mkuranga utapata faida gani? Ni Baba yako au ujuaji tu? Sio kila kitu kinahitaji uchambuzi. Pumbaaavu
Sawa. Ila ukimtizama tu. Kama una utu ndani yako lazima usikitike... Ila mama yake ameamua kukomaa( anagonga kokoto mitaa ya Shunu kahama) ili ampambanie mwaka wa kwanza. Sababu kubwa nyingine ni kuchelewa ku apply mkopo na ilisababishwa na kuchelewa sanaa kupata namba ya NIDA. Bro kama una...
Yaani umewaza kama wengi tunavyowaza. Kuna binti katokea Shinyanga huko. Kafika Dar mkopo kakosa. Mama yake ndio unapambana walau hata huu mwaka wa kwanza binti asome akiamini labda mwakani atapata mkopo. Navyoongea sasa hivi kahifadhiwa na rafiki yake hukooo pa kuitwa Pugu na chuo kipo posta...
Na Raia wa kawe wamesema nyie mna wapiga ila wao watakuwa wanawapumzisha kwa amani mmoja baada ya mwingine. Sababu mkiwa mmoja mmoja mnakuwa dhaifu kama wanawake malaya. Wakaongezea mkimaliza kuwapiga muwe umnanywea pombe huko huko kambini mkijichanganya huku nk mwendo wa sumu mkajifie kwenye...
Nyie ni wakupewa tu sumu kwenye pombe muende kujifia huko kambini kimya kimya. Pumbavu kabisa. Mnaonea watu mkiwa kikundi Mkija moja moja mnajifia. Sasa mkimaliza kuonea wananchi ndio muache kuwa mnakuja kunywa Uraiani sababu kwa mnachokifanya sasa kitawagharimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.