Search results

  1. A

    Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Nashukuru kwa ushauri hospital nlishaenda kila kitu kiko sawa!Walinipa dawa cha ajabu hata cku zangu cjaziona ni mwezi wa pili sasa na hamna mabadiko yeyote!
  2. A

    Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Jaman wanajamvi, Napenda kuuliza huduma za huyu bwana anajiita Dr. Mwaka kwa yeyote aliyewahi kutibiwa naye!Juzi nilimpigia simu akapokea mdada akasema nitume pesa ili huduma! Je, huduma zake zikoje maana me nna tatizo la kutopata mtoto kwa muda mrefu!
  3. A

    Msaada: Jamani king'amuzi cha Azam mikoani!

    Contact zangu 0759482878
  4. A

    Msaada: Jamani king'amuzi cha Azam mikoani!

    Habari wana jf!Naomba kusaidiwa jinsi ya kupata king'amuzi cha azam kwa sisi watu wa mikoani!Me niko singida na ninahitaji sana king'amuzi hicho maana nimesikia ni vizuri!
  5. A

    FTA Dish Vs VING'AMUZI Kipi bora?

    Wakuu sisi wa madongo kuinama lini tutavipata hivyo visimbusi mfano singida!
  6. A

    Israel na ukiristo

    Mtaongea sn kuhusu huyu mfalme wa ulimwengu, maana wayahud hawajaanza leo toka mimba ku2ngwa, walitaka kumuangamiza alivyozaliwa lkn hawakuwez maana mungu alikuwa pamoja nae, na hayo yote yatapita wampinge wasimpinge injili inasona mbele yesu ni bwana!
  7. A

    Jamani hii nchi yetu vipi?

    Hii ndo nch ye2 bana! ckukuu mbele kaz nyuma mm binafc nimefurahi, maana asb burudan! Kulala naamka kw md wangu!
  8. A

    Jamani hii nchi yetu vipi?

    Me naona sawa ili tule bata!
  9. A

    Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

    Mpuuz mwenyewe!Hutaki maendeleo ee!
  10. A

    Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

    Hapo nawaunga mkono wamefanya la maana sanaaa! halafu mbowe anaonekana vizuri!
  11. A

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Mkuu ungetuambia kiini cha tatizo!
  12. A

    "Nimezawadiwa Bikra Mwaka Mpya 2013"

    Kaka uwe na tahadhar ucjeukakuta bikira haipo ukaanza mwaka vbaya!
  13. A

    Lundo la kadi za kiliniki lakamatwa tunduma...

    Ugumu wa maisha umempelekea auze kadi!
  14. A

    Bingu Mutharika afariki rasmi

    Ni kweli ila usimwombee mwenzio noma mungu hapendi
Back
Top Bottom