Search results

  1. M

    Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

    Very insipiring brother! God bless you for sharing with us. Inatakiwa kuona fursa hata ambazo hatujawahi fikiria.
  2. M

    Msaada wa Maswali nafasi ya Afisa Mtendaji

    Tumeitwa dar tar 14@return of cs
  3. M

    Msaada wa Maswali nafasi ya Afisa Mtendaji

    Lkn ww sio Mungu@mandwa
  4. M

    Msaada wa Maswali nafasi ya Afisa Mtendaji

    Habari wanajukwaa! Nimeitwa interview nafasi ya Afisa Mtendaji naomba hints kwa aliyewahi hudhuria hii interview ya hii nafasi. Natanguliza shukrani kwako.
  5. M

    Kuitwa kwenye usaili Sekretarieti ya Ajira, Oktoba 2015

    Ahsante kwa michango yenu...nitafanyia kazi hayo@ganye &akilimalikisue
  6. M

    Kuitwa kwenye usaili Sekretarieti ya Ajira, Oktoba 2015

    Habari! Msaada wa maswali ya Afisa Tarafa kwa anayefahamu atujuze. Hongera kwa tuliochaguliwa tuombe Mungu atupiganie.
  7. M

    Kwa wote mnaotafuta kazi

    Wise advise may God bless u.
  8. M

    Urgent:job opportunities world vision tanzania:

    Hawa jamaa waliwahi niita kwenye interview ofisi za Arusha. wapo vizuri sana ingawa sikupata nafasi ya kazi walirudisha nauli.
  9. M

    Njoo Jiunge Nasi-MWANZA

    ur so creative guy,its gud deal big up.
  10. M

    K wa wakazi wa dar

    Nadhani busara itumike jamani,mtoa ombi alikosea kuwauliza wa dar pekee kumbe hizo nafasi zikitoka zinatangazwa Tanzania nzima labda hajui hilo,pili ni kuhusu ukoseaji wa spelling,kumrekebisha co vibaya lakini namna ya kumrekebisha lugha zilizotumika co nzuri,tuelekezane kwa lugha laini...
  11. M

    Tar 16/april/2012 usaili wa ndani wa wanajeshi wenye diploma unaanza..........

    ahsante kwa jibu lakini maswali ya msingi hayajajiibiwa kama lini utafanyika usahili wa nje nadhani tetec utakiwa nayo,jinsi ya kutuma maombi,wale wenye degree ni lini? Nimenukuu maswali ambayo hayapata majibu nategemea utatupa taarifa wanajf.
  12. M

    Application online

    Thanks guys for all positive contributions,God bless u ol and it is supposed to be dis way not crashing @ aza.
  13. M

    nataka kujiunga na jeshi

    Nitumie hiyoo web address nicheki c unajua muda unakwenda.
  14. M

    nataka kujiunga na jeshi

    Real if any one even knows the website of JWTZ or procedures how to apply please let us know coz people are serious about it.
  15. M

    Kwa wanaotaka kwenda jeshini kuna usaili unafanyika Morogoro

    Kaka mwisho wa usahili ni lini?coz pande ir town wana wapo byee kwa jeshi. Tafadhali tupeni taarifa mapema tusichelewe.
  16. M

    Vijana tukishika madaraka tulete MABADILKO

    Ni muda mrefu tangu tuanze kutoa lawama juu ya WAZEE ambao wamwshika madaraka kuwa hawatuwezeshi vijana hasa katika kutujenga ili tuweze kukubalika katika soko la ajira. Hivyo natoa rai kwa vijana waliopata nafasi ya kushika nafasi (utawala) ambapo anaweza kuleta mabadiliko basi tusizichezee ili...
  17. M

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Thank you bro for your time and come up with a great idea. It is true there are many graduates in the streets without any job to do. I have no doughty you will receive a lot of emails or sms from graduates to join you. The most important step right now is to form a strong union with committed...
Back
Top Bottom