Search results

  1. Pindima

    Nyumba zinauzwa Kigamboni

    Namba yangu 0719000511 tuwasiliane nikutumie na picha nimesgindwa kuziweka hapa
  2. Pindima

    Nyumba zinauzwa Kigamboni

    Nyumba mbili zipo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa, zina hati zipo eneo zuri kwa biashara zipo kilometre 1 kutoka ferry
  3. Pindima

    Nyumba mbili zauzwa Kigamboni

    Nyumba mbili zipo kwenye kiwanja kimoja Kigamboni maeneo ya Tuamoyo ni kama km 1 kutoka ferry zinauzwa, nyumba zote ni nzuri na zipo eneo zuri, kiwanja kimepimwa na hati ipo, ni pm kwa mawasiliano zaidi!!
  4. Pindima

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni

    Ni changu hakina hati, kuhusu bei nipigie 0719000511
  5. Pindima

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni

    Kiwanja chenye ukubwa wa hejari moja kinauzwa kigamboni maeneo ya mbutu, kipo eneo zuri na karibu ya barabara kuu ya kwenda kimbiji, bei na maelezo bengine ni PM
  6. Pindima

    Mwisho kamili wa simu za Nokia

    Andika kwa kiswahili kaka!!! Hii lugha ngumu!!
  7. Pindima

    Kagera: Wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa...

    Hii mjamaa ikishaitwa mikondoo basi haifikiriii inaenda tu, ona sasa inavyokufa kizembe, dini nyingine ni matatizo tu!
  8. Pindima

    Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

    Ni cha kupima ukubwa square metre 601
  9. Pindima

    Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

    Kiwanja kinauzwa kipo kibada kigamboni, kiwanja kimepimwa na hakipo kwenye mpango mji mpya wa kigamboni, kipo block 16 kibada, kikubwa!! Bei ni nzuri milioni 30, bei inapungua!! Ukiwa wahitaji niPM kwa mawasiliano zaidi!!
  10. Pindima

    Gari Harrier inauzwa!!

    Ukiwa wahitaji ni PM
  11. Pindima

    Gari Harrier inauzwa!!

    TOYOTA HARRIER 2005 - Stock Id: 415402 FOR TSHS 27M Chassis # ACU30-0036379 Car Make TOYOTA Car Name HARRIER Year/Month 2005/6 CC 2400 Transmission AT Color Silver Fuel Petrol 189000 km mileage
  12. Pindima

    Gari Harrier inauzwa!!

    Nimeshindwa kuweka picha natumia simu ila anayehitaji maelezo ikiwepo picha aniPM
  13. Pindima

    Gari Harrier inauzwa!!

    TOYOTA HARRIER 2005 - Stock Id: 415402 FOR TSHS 27M Chassis # ACU30-0036379 Car Make TOYOTA Car Name HARRIER Year/Month 2005/6 CC 2400 Transmission AT Color Silver Fuel Petrol 189000 km mileage
  14. Pindima

    s2 wakat wa kuchaji haijai na inazd kupunguza percentage katika betri.

    Mimi hilo tatizo ninalo pia kwenye cm kama yako lkn nimetafuta chaji original tatizo limekwisha naweza kutumia cm nipendavyo huku nikiichaji cm!!
  15. Pindima

    Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Alinambia ningekua mrefu kidogo angenifikiria!!! Roho iliniuma sana!!
  16. Pindima

    Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Alinambia ningekua mrefu kidogo labda angenifikiria!!! Roho iliniuma!!
  17. Pindima

    Taarab na Waislam na miziki ya injili na wakristo?

    Haha niliandika haraka haraka sana, ni patrisha Hilary aliyeimba ewe njiwa!!
  18. Pindima

    Taarab na Waislam na miziki ya injili na wakristo?

    Patrish Hilary aliyeimba iwe jiwa.
Back
Top Bottom