Search results

  1. Makambovich

    KKKT Mbezi Beach msilazimishe waumini kuabudu kwa Kiingereza

    Nasikia ibada za lugha ya malkia zinakua fupi fupi..kwenye mahubiri hakuna zile longo longo za mifano ya uongo na ukweli
  2. Makambovich

    Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

    Azam hawa hawa ambao hata ukipiga customer care hawawezi kupokea simu..mzigo mzito unawapa ubora wa huduma sio vipindi tu
  3. Makambovich

    Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

    Labda watatupa remote control..tunabonyeza tu tukiwa kwetu 😂😂
  4. Makambovich

    Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

    Mwambieni hajachelewa tunaweza kutuliza hasira za mkulu muhimu aje na mbuzi jike..kilo 25 za mchele..debe 4 za mkaa..mafuta ya sunflower lita 5..isizidi tarehe 24/12
  5. Makambovich

    Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

    Dah lakini bila shaka taarifa muhimu zinamfikia ikiwa ni pamoja na 01-01-2021 yule mgombea anarudi baada ya kumaliza kazi yake..
  6. Makambovich

    Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Inahitaji mtu uwe umechangamsha akili kidogo na maji yetu yale ili kujua majukumu ya mwanachama wa hiyari..
  7. Makambovich

    DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Wanaendaje Dodoma bila kutusainia fomu za makato ya wabunge kuimarisha Chama 😀😀
  8. Makambovich

    Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Ni kama anaulizwa umekula mchana naye anajibu hapana sababu chips na mishikaki kwetu sio chakula.
  9. Makambovich

    Yanga Omary ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kuuza dawa za kulevya

    Matibabu bure jumlisha na ndoa pasipo kutolewa mahari
  10. Makambovich

    Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Tunakiri kupokea box/Parcel yenye malalamiko kutoka huko Tanzania ..bahati nzuri kuna malalamiko ya bwana Donald Trump tutafanyia kazi kwa pamoja
  11. Makambovich

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Wangejitahidi kuwahi mapema maana kuna tatizo la upatikanaji maji ya kuwasha😂😂
  12. Makambovich

    Athari za kumpiga vita Mzee Mwasapile wa kikombe Cha babu zaanza kuonekana. Halmashauri ya Ngorongoro mapato yapungua

    Halmashauri zinatakiwa zibuni vyanzo mbalimbali vya mapato! labda kitu pekee ambacho wakazi wa huko Ngorongoro wanachotakiwa kumshukuru Babu, uwepo wa huduma yake ulichangia Serikali kuikumbuka miundombinu ya kule
  13. Makambovich

    Baada ya kununua nyumba kwa mnada, familia nzima wanaingiliwa kinyume na maumbile 'non stop' kila siku usiku

    Pole mleta mada najua wapo watu wanaona aibu kueleza maswaibu yanayowakuta ila kama na wewe ni sehemu ya hiyo familia ambayo kila uchwao watu wanasimika mzizi ujachelewa njoo kwa tiba ya kurudishiwa marinda!!
  14. Makambovich

    Mzumbe ya Mbeya na Mzumbe ya Morogoro zina utofauti gani?

    Mzumbe Moro kitabu kipo tight!! Mazingira ya kule starehe hadi wknd sbb ya umbali wa kusogea town! ni tofauti na Moro ambako thursday tu watoto wote wanajaa City Lounge(ladies free) Hata vile vichwa(vipanga) vinapatikana kule Moro, kuna kuku pia wa kienyeji ambao ni madem wa kirugulu!! misosi...
  15. Makambovich

    Uwanja wa Simba Bunju Wanoga

    Hongera kwa Mo kufanikisha ili maana wengine huu uwanja walishaanzisha michakato ya kupiga pesa kwa kisingizio cha uwanja wa bunju
  16. Makambovich

    Walimu wahamishwa na kutelekezwa

    Pole mwalimu ila ungeweka na barua yako ya madai ya uhamisho tuone DED alisema nini hii pekee yake haitoshi kuthibitisha kuwa haujalipwa!
Back
Top Bottom