Ambaye yuko vizuri kwenye kutengeneza app anitafute WhatsApp no. +255652033961 nataka anitengenezee business app kwahiyo uwe mjuzi wa kutengeneza apps na uwe mzoefu wa ivi vitu
Pamoja sana wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi nikinunua kitu eBay ni shipping ipi inatumika/naweza kutuma kwa myus.com
Maana nimeona kuna laptop inauzwa 105400
Ni kinunua wataituma kwa $ ngapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kifaa gani ambacho ni very useful na kina provide good network kwenye different devices kama (Android phones, tablets and desktops
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa big up kwa mtoa post wanaume tumezaliwa kupambana nashangaa kuna watu wanapata muda wa kupost picha kwa social media ambazo hazina faida kwake pesa anaomba kwa wazazi kazi hataki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.