that's a very good and valid point, akivuliwa uanachama........urais kwishney.....jipu kuu haliwezi tumbuliwa......coz hata akiwa m/kiti bado anaweza undiwa zengwe akavuliwa uanachama.
nimekuelewa kidogo, kwa mfumo wa siasa za nchi yetu chama tawala kina nguvu kuliko rais, hapo kweli m/kiti ni kama bosi wake hadi pale atakapomkabidhi kijiti.
jibu zuri, asante. sasa tuchukulie hali ya sasa ambapo m/kiti ana nguvu na ushawishi mkubwa kwa chama chake na upande wa pili rais ana dola nyuma yake, ikitokea wawili hawa wakahitilafiana mmoja kwa maslahi binafsi na ya wanaomzunguka na wa pili kwa maslahi mapana ya taifa letu, je m/kiti au...
Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar kweli zitakuwepo mwakani?
Kama tisa Desemba tunafanya usafi nchi nzima, yamkini Januari 12 sherehe za Mapinduzi Zanzibar nako watafanya usafi kama sie huku bara.
Yetu macho, subira yavuta heri.
ni kweli kurudia uchaguzi inakuwa bora zaidi maana chaguo la wengi anakuwa hayupo tena, ila wazo la mshindi wa pili kuapishwa nalo si baya kuepuka gharama za kurudia uchaguzi!
'wa kuchaguliwa' hapo nimekusoma vizuri sana.
Endapo CHADEMA ikatokea kushinda urais na CCM ikapata wabunge wengi wa kuchaguliwa ina maana Lowassa atakuwa na waziri mkuu toka CCM?
Najua mgombea wetu JPM anaongoza kwa kura nyingi katika majimbo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa.
Hata hivyo endapo utatokea muujiza matokeo yakageuka basi nitawaomba wana-Ukawa watupe Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa letu!
Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa, labda kutokana na ugonjwa au kifo? Je mgombea mwenza ataweza kuapishwa badala yake, au itabidi uchaguzi urudiwe upya?
Time and time again, this time only time will tell when it's the right time to tell the time!
How powerful the time can be 'coz it's just a matter of time, we all know our General is very punctual and always on time, but only this time it has been a prolonged time of his absence in person...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.