Search results

  1. mboga TZ

    INAUZWA Ramani inauzwa tsh 20,000

    Karibu nikupatie ramani ya vyumba vitatu kwa shiling 20000 tu ina .sitting room .dining room .korido .public toilet . 1 master bedroom .2 normal room .vibaraza viwili mbele na nyuma Nb haina jiko na store ndani Na ya vyumba vinne Raman ipo Call or WhatsApp 0757735884 50000 ya vyumba vinne
  2. mboga TZ

    Karibuni kwa mtaalamu wa finishing na decorations za nyumba

    Wakuu karibun kwa finishing nzur za nyumba na decoration kwa kutumia rangi za kawaida au modern material Kama con mix,drewa,camsilver,minart decoo,prestige,wall panel,wall moulding,silcoat,palace ,stucco,cottoon paint .karibun tukufanyie kaz saf na ya kisasa kwa fund rangi makin na gharama nafuu...
  3. mboga TZ

    Karibun kwa finishing nzuri na za kisasa za nyumba

    Karbun kwa kaz saf na za kisasa za nyumba kwa rang za kawaida au material ya kisasa Kama travetex dekor, decoo, 3dwall panel, wall moulding, wall master ,wall paper,conmix ,stucco,pearl,palace, drewa, camsilver, minat decoo. call or wasup 0757735884 location napatkan Mbeya Mjini Sent using...
  4. mboga TZ

    Fundi rangi na decoration za nyumba

    Wakuu karibuni kwa finishing nzur za nyumba na za kisasa Kama wallpaper ,silkoat ,drewa,decoo,,moulding ,wall panel ,camsilver,wall master ,cotton paint belka ,skiming na rangi za kawaida za nyumba napatikana mbeya call or wasup 0757735884 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mboga TZ

    Diamond platnumz pamoja na Rayvany kukiwasha Christmas hii Sokoine free entry

    Wasalaam wakuu baada ya muda mrefu Platnumz kutokukanyaga Mbeya, tarehe 25 anakuja kusherehekea ten years of Platnumz na wanambeya Hii inasemekana ni kutokana na jamaa kuidis Mbeya kuwa hakuna hotel ya kulala yeye wanambeya walimind sana hili swala lakin mwaka huu naona ameamua kuachana na bifu...
  6. mboga TZ

    Sikuwahi fikiri hata siku moja kuwa nitakuja kulia kwa ajili ya mwanamke leo yamenikuta

    Wasalaamu wakuu niende kwenye mada,katika vitu ambavyo wanaume wengi tumekuwa tukidanganyana ni kuwa mwanaume hawezi kulia kwa ajili ya mwanamke hata mimi nilikuwa miongoni mwao lakini nimekuja kutambua kuwa madai hayo hayana ukweli jamani mapenzi yana nguvu asikwambie mtu. Nilibahatika kupata...
  7. mboga TZ

    DIAMOND ametuonyesha watanzania kuwa anaheshimika na wasanii wenzake Africa

    Wasalaam wakuu natumaini ni wazima wa afya tele,twenzetu kwenye mada novemba 9 Ilikuwa ni grand final ya wasafi festival in daresalaam nikili kuwa tamasha lilikuwa na muamko mkubwa Sana japo kuwa mapungufu machache lakin msanii diamond ameendelea kudhihirisha kuwa yeye ni mwamba baada ya kufanya...
Back
Top Bottom