Search results

  1. J

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    unajua ww huna akili ht kidogo ukrein mpk kufikia leo wametumia dola billion 150 niambie ni nchi ngp huko ulaya wana bajeti hyo!!! lkn pia isitoshe ukrein ilishaanza kujianda na vita miaka nane iliyo pita kwa kupewa siraha za kisasa!!! na ht hpo unaposema kuwa siraha wamepewa kwa uchache ivi hyo...
  2. J

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyo n mjinga na mataifa mengi wamesha muona mpumbavu raisi ambae Hana huruma na watu wake, nchi inaharibika
  3. J

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ww ndugu akil Zako unazijua ww mwenyewe. Kl siku Zaid ya wanajeshi Mia saba wawe wanakufa tu Tena wa Russia duuh kwa hyo ikipiga hesabu 700 *30 Zaid ya wanajeshi 21000 ndani ya mwaka mmoja si chin ya laki Tatu duuh ww vyanzo vyako cijui ni wapi? Ht ww mwenyewe hutumii akili kichwani mwako
  4. J

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mmmhhh hpo kwl hakuna maswala ya ujasusi kwl maana ha ni viongoz wakubwa na tension iliyopo kwa Sasa kl kitu kinafanyika kwa umakin mkubwa Sana huyo itakua ameuawa na warusi Sasa zele inabid ajipange Sana mdayc mrefu na yy atauwa
  5. J

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sijawahi kuchangia chochote kwenye uzi huu ila Leo nitachangia kidogo!!!! Nimeona kwenye huu kuna pande mbili wenyewe mnasema pro nato na pro Russia [emoji635] lkn wachangiaji wengi humu ni watu wenye ngoz nyeusi ambao kl siku tunapambana kujikwamua kwenye dimbwi la umaskini uliokisili...
  6. J

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii operation ni ngumu sizani km US walikutana na operation km hii lkn hii operation ikiisha na urusi kufanikisha lengo kwa 100% bc urusi litakuja kuwa taifa lenye nguvu barani ulaya na Dunia kiujumla maana kuzishinda nchi 40 ambazo zinachangia silaha na wapiganaji pia
  7. J

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mambo vp Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

    Ht km Ni kwl Sasa kumringanisha p. Didy Na Christian Ronaldo Au Messi uzur wa usanii njee ya show anazo fanya anauza music kwenye plattform mbali mbali ambazo zina muingizia hela nyingi pamoja Na matangazo Kwahiyo Mm cio km kuna fact Na huwez kusikia Messi Au Ronaldo kampita utajir Jay Z Sent...
  9. J

    WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Sasa utawezaje kutofautisha kazi ya msanii na msanii mwenyewe " au Ndio hatufanyi kazi na Assad ila tunafanya kaz na CAG
  10. J

    WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Lkn kipind unahitaji kutoka kimziki Wala hukuona km inakubana watu wanvyotia tia hela kwenye kaz zako wanakubrand vizur baada ya kutoka na kukutafutia connection Ndio unaona sasa wananibana km unaelewa Hakuna anaye taka apate hasara kwenye biashara n swala la mda tu
  11. J

    WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Una mindset ndogo Sana ndugu yangu " Hakuna mfanyabiashara asietaka faida na ukiingia kwenye biashara ya mikataba ww Tayar ni bepari Alafu pili unavyo sain mikataba wl hawakushikii mtutu unapewe unasoma na kuelewa ndipo anaangusha saini yko, swala la mda Mbn kanye west kasain mkataba wa milele...
  12. J

    Sallam athibitisha Harmonize kujiondoa WCB

    M Sizan km iko hivyo kwa sababu mkurugenzi mkuu wa kampun ni yeye diamond ana mameneja wa tatu na kl msanii anameneja wake kwaiyo wcb cio ya fela au salamu wote wanategemea mshahara kutoka kwa mond Ndiyo ambae wana mmeneji
  13. J

    Sallam athibitisha Harmonize kujiondoa WCB

    Mzee baba m cina upande Lkn huwa waswahili wana sema dalili ya mvua n mawingu km anaweza kujisimamia mwenyewe sio mbaya Lkn inabid acheze na upepo
  14. J

    Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Anazingua huyo kinyama
Back
Top Bottom