Search results

  1. M

    Unlocking huawei e173u-1

    Unamaanisha pale ninapotakiwa kuchagua "normal mode" nichague "resurrect mode"?
  2. M

    Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    Sababu kubwa inayowafanya wazazi wengi waanzishe watoto wao mapema sio uwezo wa mtoto bali ni kutokana na majukumu waliyokuwa nayo ya utafutaji wa pesa hali inayopelekea mtoto ana miaka mitatu ameshaanzishwa day care
  3. M

    Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    Hapa kuna umuhimu wa kujua saikolojia na malezi ya mtoto mpaka kufikia umri huo wa miaka saba. Mfano anamaliza form four akiwa na miaka kumi na nne, miaka ambayo alitakiwa awe labda darasa la saba au form one, kiufupi unakuwa umemyima haki zake za msingi ambazo alitakiwa azipate akiwa mdogo, pia...
  4. M

    Unlocking huawei e173u-1

    Hi guys, Nimeona maelezo mengi mfano kwa kiwango na wengineo kuhusu kuunlock aina hii ya modem na mimi nilishawahi kufanya hili jambo. Lakini nimefeli na sababu hasa ni pale ambapo ninapoanza kutumia huawei flasher by francis, ninapofikia kwenye "normal mode" program inaandika "not...
  5. M

    Nifanyaje nini niweze acha tabia ya kupenda majimama?

    tafuta mdada unaeendana nae but awe na mwili mkubwa na msambwanda wa maana
Back
Top Bottom