Search results

  1. Volatility

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    hilo shambulio la iran sijaona picha zake za uharibifu zilizofanya huko Yerusalemu. tupia picha mkuu.
  2. Volatility

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    No. Tokea jana naona kuna habari picha za satellite kwenye mitandao ikionyesha uharibu uliofanywa na shambulio la Israel. Taarifa za madhara ya shambulio la Iran kwa Israel ni kujeruhiwa mtoto kujeruhiwa na mabaki ya kombora lililotunguliwa. sina taarifa zaidi.
  3. Volatility

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    lakini inasemekana wamepiga rada ya S300 iliyokuwa inalinda vinu vya nuclear.
  4. Volatility

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Cool down. inaonekana uko na stress sana. kila mtu ana stress zake sasa hizi zako naona unataka kuhamishia kwa watu wengine. stress ni sehemu ya maisha, na kuichukulia positively inaweza kusaidia kutoboa. usikate tamaa kirahisi. cool down
  5. Volatility

    Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

    List kidogo usasa wa Iran. maana elimu haina mwisho.
  6. Volatility

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Point namba 3 naona kama ina contradict point namba 1 na 2.
  7. Volatility

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    kwanza kaitwa na kaitikia wito, hata Polisi wangemuita angeenda. Jeri kafanikisha lengo la kumdhalilisha jamaa.
  8. Volatility

    Tanzania na Rwanda kuna nini?

    Kagame, kaanza kuchoka akili. hapa anajitengenezea mtu wa kumpindua. kwa historia ya Tanzania.
  9. Volatility

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    kwa rugha nyepesi, sayansi ni mfumo wa kufikiri.
  10. Volatility

    Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

    uwe unasoma na kuelewa, alifurushwa kutoka mecca akakimbilia madina.
  11. Volatility

    Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

    Uislamu na Mayahudi wote hawakubali kwamba Yesu ndiye Masia, ni Mwana wa Mungu, alitoka kwa Mungu na ni Mungu. Kwa taarifa tu, Mayahudi yalimpokea Mohamed kwa mikono miwili wakiamini ndiye masia. Aliposhika mapanga tu ndo wakamstukia.
  12. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    kishakuwa kirusi kile.
  13. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    cocha inabidi amueleze Rashford, he is not expected to score, he is expected to give assists.
Back
Top Bottom