Search results

  1. Shadow120

    Masters of Public Health(MPH)

    Wadau, kuna kitu najiuliza kuhusu MPH ya MUHAS. Kwa miaka mitano mfululizo now naona watu wengi sana wanaiappky kulingana na Masters degrees nyingine. Hii imepelekea mimi kujiuliza swali je ni kwa sababu gani watu wanaikimbilia hii course?? Kwa wingi wa wanaoiapply na waliograduate nikafikiri...
  2. Shadow120

    Udaktari wa mifugo

    Wadau Nina sawali; Je mtu aliyesoma BVM(bachelor of veterinary medicine) anaweza Fanya kazi Wildlife :kuwatibu wanyama pori???????
  3. Shadow120

    Msaada

    Wakuu naomba msaada wa majina ya vitabu vizur vya veterinary anatomy
  4. Shadow120

    Biotechnology and laboratory science

    Wakuu hii faculty inahusu nini?? Na applications zake ni wapi?? Ninaomba ufafanuzi kidogo kwa anayeifahamu
  5. Shadow120

    Masters of Veterinary Medicine

    Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
  6. Shadow120

    Agronomy

    Wakuu kwa anaeifahamu agronomy au ameshaisoma ninaomba ufafanuzi kidogo, na vip kuhusu soko lake la ajira??
  7. Shadow120

    Agricultural engineering

    Hivi mtu aliyesoma PCB A-Level anaweza piga BCs agricultural engineering SUA???
  8. Shadow120

    Dental surgery vs Radiotherapy

    Wakuu kati ya dental surgery na radiotherapy Ipi ipo poa zaidi kwenye soko la ajira TZ??
  9. Shadow120

    Bachelor of Vetenary Medicine

    Wakuu ninaomba msaada kidogo kuhusu Bachelor of Vetenary medicine ya pale Sua. Kwa anayeijua au kwa aliyeisoma, Je ina ajira kwa sasa?? Au bado mazinguzi
Back
Top Bottom