Search results

  1. A

    Sakata la Wachimba Visima KM Mkumbo bado hajaeleweka kabisa!

    Amani ya Mwenyezi Mungu aliyeumba Wanadamu wote iwe juu ya kila asomae na kuchangia Mada hii! Kufuatia sakata la Wachimba visima kutakiwa wajisalimishe na kwenda kulipia tozo husika hali ambayo imeleta taharuki kubwa miongoni mwa jamii kiasi cha Watu kueleza kwa vipi Serikali yenye jukumu la...
  2. A

    Mkuu wa Mafunzo ya JKT kwa Wanafunzi wa Mujibu

    Salamu kwako Afande [emoji113]. Napenda kuchukua fursa kukuomba uweze kuwasiliana na Wakuu wa Vituo vya Kambi mbalimbali za Mafunzo ya JKT Kwa Mujibu ili wawaruhusu vijana warudi majumbani kujiandaa kwenda vyuoni maana Siku zimekwisha. Officially mafunzo yameisha wiki ilopita...
  3. A

    Je ni Shule gani nzuri ya boarding ya Shule ya msingi ?

    Nina mtoto wa ndugu yangu ana umri wa takriban miaka 10 ni wa kiume, tumemtoa kijijini alikokuwa anaishi na baby Na Bibi Yake mzaa mama yake, lengo la kumchukua ni kutaka asome na kuondokana mazingira ambayo yangempekea hata kujifunza Wizi n.k ! Sasa tumeishi naye sasa Kwa miaka miwili...
Back
Top Bottom