Talaka uidai pale tu unapoona kuna hatari ya uhai wako kuwa shakani.
Ikifika hapo kimbia talaka ikukute umeshatoka kwa huyo Mwanaume.
Lakini iwapo Mwanaume atatimiza wajibu wake wa msingi Kwanini utake taraka kwa njia ya sms tu ulizokuta kwenye Simu yake ?!
Yaani sms chats uruhusu zina nguvu...
I am not encouraging men to Cheat to their wives.
Sifagilii wanaume kuchepuka ninachotaka iwapo ikitokea mume kumkamata akicheat mwitikio wa wake zao uwe wenye hekima wa kujenga na sio kubomoa.
Wanawake waloolewa wajifunze kuwa jua wanaume na wajae maarifa ya kisaikolojia na hekima badala ya...
So far wanawake wengi walioachana kwa kudai talaka wameenda kujikuta wameingia kwenye uhusiano na wanaume za watu.
Sasa hapo unakuwa umefanya nini?
Umeruka jivu ukakanyaga tope au ?
Sababu ya umri fulani unakuta wa umri wako wengi wameoa.
Vinginevyo uokote Mario ambapo ni kujidhalilisha...
Tujifunze upendo na ukarimu kwa watu wote ina faida kuliko kuchagua chuki na choyo kwa ndugu wa mume.
Ndugu yao ndiye bread earner lakini hutaki ndugu zake wale wala kusaidiwa?!
Kwanini mnathamini sana kula wakati vinaishia chooni?!
Halafu mngejua ukarimu na upendo kwa watu ni takwa la...
Labda nao iwapo ila zao zinafana za uchoyo lakini iwapo wao ni wakarimu na upendo kwa ndugu wa mume hayo hayawezi kuwafika abadani [emoji108][emoji108]
Imeandikwa wapi?
Dua la kuku Kwani linampataga mwewe?
Umpe laana wewe ni mzazi wake?
Hata huyo mzazi inategemea maana Imeandikwa laana isiyo na sababu haimpati mtu.
Labda iwe ni coincidence tu .
Failure zipogo tu Hata kama Mwanaume hatachepuka.
Kwani wote wanaopitia mitihani ya maisha ni...
Kwa miaka mingi sana nilikuwa sipendi kusafiri isipokuwa pale ilipolazimu tu labda kikazi au kijamii.
Lakini kwa neema ya Mwenyezi Mungu nimefunguliwa, nimejifunza nimepata ufahamu sasa hivi sio yule tena.
Ujinga tupa kule.
Nimewekwa huru kweli kweli.
Mimi baada ya kujifunza Na kuelewa umuhimu wa kusafiri kiafya nimeazimia kuanzia kupanga na kusafiri kwa kuanzia maeneo ambayo naweza kuya -access Kwa urahisi.
Matharani unaweza kuanzia kwa level ya Wilaya , mikoa , nchi jirani , za mbali kisha ng’ambo.
Kwa kadiri ya uwezo wako.
Walau uanze...
Kwanza kitaalam mtu anatakiwa kusafiri kufika mahala hajawahi kufika in every year regularly
Kusafiri ni hitaji la afya ya akili.
Kama yupo anayefahamu basi ni 1 kati ya 1000000
Kwanza ukifanya simple survey kujua iwapo wabongo wanajua faida za kusafiri nina uhakika Kama wapo ni wachache sana 1 katika 100000.
Ndio maana wanakwambia hawawezi kusafiri bila sababu ya msingi [emoji3][emoji28]
Kwenye nyuzi kama hizi ndipo utawajua walimu walioko JF [emoji3][emoji28]
Mafuta ya taa yagimwagwa shimoni tu faster hao wanaanza kujitokeza [emoji38][emoji38][emoji38]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.