Search results

  1. Will Jr

    Binafsi napata tabu kuelewa maana ya Ukabila kwa karne hii

    Inawezekana ukabila ukawa na maana linapokuja suala la utamaduni na chimbuko la watu tulipotoka lakini kwa mambo ya kitaifa binafsi sioni maana ya ukabila, mambo ya ukabila ni ya msingi tunaporudi huko tulipotoka na maeneo ambayo tunapofanya dini zetu za asili na utamaduni, Mwl. Nyerere alisema...
  2. Will Jr

    Kwani Simba kuchukua ubingwa ni mpaka Yanga wawe wabovu (watembeze bakuli)? Ni aibu

    Wasalaam! Yaah! Wote tunaelewa nyakati zinabadilika sana, Yanga inavyobadilika na mpira wa bongo unabadilika, Kutoka kwa Manji to bakuli now kwa GSM, nakumbuka kipindi Yanga wanatembeza bakuli faraja yao kubwa ilikuwa kuwafunga Mikia, lakini Yanga kuwafunga Mikia sio habari, washazoea. Habari...
  3. Will Jr

    Nimezaliwa kuwa Mwananchi: Maoni yangu kwa Viongozi wa Yanga

    Viongozi wa Yanga inabidi waelewe tatizo la Yanga si wachezaji, tatizo letu ni benchi la ufundi. Shida kubwa ninayoiona Yanga ni miundo ya timu (structures). Tunapounda mashambulizi muundo haueleweki na ikitokea tunacheza dhidi ya timu bora zinazozuia nafasi inaleta shida sana kutengeneza...
  4. Will Jr

    Sikia, usipoteze time yako kuchase women, Chase your dreams

    Women are desperate for high status Alpha males, just like some men are desperate for young, beautiful women. The more money you have, the more social status you have, chicks flock to you, ama vipi bhana... ~ Step by step seduction. Uzi kwisha.
  5. Will Jr

    Bayern Munchen bingwa wa Ulaya msimu huu

    Kutokana na maarifa, uwezo na umakini wa kutosha wa hawa miamba ya Munich Bavaria, ni dhahiri kuwa wanaenda kubeba ndoo ya UEFA. Ni timu pekee duniani yenye uwezo wa kucheza away games ikiwa comfortable kama wapo kwenye uwanja wa nyumbani, na pia ni timu pekee yenye wastani wa ku-score goli...
  6. Will Jr

    Olympiacos Bingwa mpya Europa league, ni suala la muda tu

    Olympiacos ndiye atakuwa bingwa mpya wa Europa league baada ya kuitoa Arsenal, hawa jamaa mpira wanaujua na hawabahatishi kama nyumbu wengine, kwa hiyo ni suala la muda tu bingwa kupewa kombe lake.Kuitoa Arsenal inawapa nguvu ya kupambana na vibonde waliobakia, my prediction fainali itakuwa kati...
Back
Top Bottom