Search results

  1. tusipotoshane

    Kwa tathimini niliyoifanya katika majiji ya Dar es Salaam,Mwanza na Arusha mwitikio wa wananchi kuacha kutumia rambo ni mkubwa

    Kwa tathimini niliyoifanya katika majiji ya Dar es Salaam,Mwanza na Arusha mwitikio wa wananchi kuacha kutumia rambo ni mkubwa sana.Kwa hii kampeni,Serikali imefanikiwa na itafanikiwa zaidi. Kinachotakiwa elimu ya mazingira iwafikie wananchi maeneo yote ya nchi sio walioko mijini tu,hata wa...
  2. tusipotoshane

    Uhusiano wa harufu kali ya kinyesi/mkojo na aina ya vyakula tunavyokula

    Hivi kuna uhusiano wa harufu kali za taka mwili (tajwa hapo juu)zitolewazo kutoka mwilini kuendana na chakula tunachokula?Taka mwili ya watu gani(waafrika,wazungu,waasia)hunuka zaidi? Bila kujali usafi,ni maliwato gani hutema zaidi kati ya watumiaji tajwa hapo juu hata usiweze kula karanga...
  3. tusipotoshane

    Tetesi: Kuwa na mashaka ya jambo fulani ukitoa taarifa kwa vyombo dola kufuatilia na kukuta taarifa sio ya kweli pia ni uzalendo kwa taifa letu

    Juzi asubuhi wakati nipo maeneo ya Kibamba Chama Jijini Dar,huku watu/abiria wakisubiri daladala kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji kwa mihangaiko yao,baadhi tulikuwa kijiweni kwa shughuli zetu za bodaboda walionekana vijana 5 au 6 hivi wenye umri kati ya miaka 10-13 wakiwa na vindoo/visinia...
Back
Top Bottom