Search results

  1. Makiri Unguluma

    Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

    Kama watu wanaringa kuona kuoa iko siku watatoka na suti ya bafuni, sasa mtu akiambiwa kuowa bado anajipanga si bora kuwarusha roho
  2. Makiri Unguluma

    Trump Vs Snoop

    Kinachshangaza eti kiama kitafika kwa siku moja mbona tutakuwa hatujafaidi kihivyo
  3. Makiri Unguluma

    Mjomba umebadilika sana

    Mtaifikia tu bei ya kununua (Mkushika ahigula)
  4. Makiri Unguluma

    Inalipa kufanya kazi kwenye ghala la taifa la chakula

    Jamaa mwili wake tu kuna ndugu yake shati limechanika mgongo waote na ni mnene kama yeye nadhani ni mbegu kubwa
  5. Makiri Unguluma

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Kumbe kweli wanapata we ng'ang'ania watakuambia tu na wenzao wengi kumbe wanajuana tunaliwa sisi tu.
  6. Makiri Unguluma

    Kuondolewa kwa posho za vikao ni pigo jipya kwa CCM

    Angu niyo ng'hana yi utafikiri wengine hawatoi godi
  7. Makiri Unguluma

    Safari ya kuhamia Dodoma Feb 2017 kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wote bado ipo?!

    Uchokozi tu kama huna hela ya kulipia ada wanao unaichombeza serikali ili ulipwe hela ya uhamisho umenoa, hakuna kuhama
  8. Makiri Unguluma

    Rais Magufuli, madeni ya walimu yanazidi kuongezeka

    Hata wakulima wanasubiri uhakiki wa mvua umalizike ili mvua inyeshe wapande sijui itakuwa mwakani; walimu vumilieni
  9. Makiri Unguluma

    Swali: Hivi kuna mtumishi wa umma ameenda kusherehekea mwaka mpya nje ya nchi?

    Nawe naye hata kama wameenda Burundi au Namanga rekebisha kidogo jamani maana hata Mkulu si alikuwa karibu na Uganda
  10. Makiri Unguluma

    Musiba: 70% ya mawaziri wa Magufuli ni mizigo

    Inaweza kuwa njaa anatafuta pa kukaa akipata bodi kila kitu atasema safi hata kama wengine wanaumia
  11. Makiri Unguluma

    Tulianzia ofisini, tunamalizana kanisani kweli?

    Kwani imekuaje mkuu ebu fafanua maana waingereza wa Ireland walisema watu ni walewale kuwatifautisha ni shida kweli
  12. Makiri Unguluma

    Mungu, kwanini umeyaruhusu haya?

    Mkipiga dili hamlipi zaka hamtaki kumfanya rafiki kwa mali ya udhalimu sasa mnalialia Siku nyingine mkipiga hela acheni kuumiza watoto wa wenzenu
  13. Makiri Unguluma

    Mh Rais Turudishie Matumizi ya Shisha Tafadhali. Watanzania wenzio tunateseka

    Unaweza kutajirika kwa aina hii ya uandishi maana hujawahi kuvuta hiyo kitu
  14. Makiri Unguluma

    Lusekelo (Mzee wa Upako) ana mapepo na ni Agent wa Shetani. Ataka oa mke mwingine?

    Vita ya wema na uovu, shetani na mwovu watu wote wako katikati ya vita hii. Aandamwe shetani na sio watu aliwanasa
  15. Makiri Unguluma

    Safu mpya ya CCM: Mniombee, nakaribia kuingia Kamati Kuu au Sekretarieti

    Afadhali umeomba wakuombee maana ungechagua mlengo wa albino ingetuumiza sana mkuu, waachwe waishi kama watanzania wengine
  16. Makiri Unguluma

    Picha aliyonayo Rais Magufuli Kuhusu Magereza Siyo Picha Halisi Iliyopo kwenye Jeshi hili

    Hii ndio shida ya kufikiri kwa kukayika katika wakija wanataka kura wewe unajiona wa maana kuliko watanzania wenzako baada ya kuwaumiza wenzako unaanza kulilia kuipenda kwako nafsi yako. Tembea katika kweli ya hafsi mwendo lwa sasa ni kupasua majipu bhana bora upende tu usije ukapata predha haya...
  17. Makiri Unguluma

    Kuna umuhimu sana kuoana watu wa imani moja, tuepuke migogoro

    Wa Imani moja na wewe utamkuaje maana mkulima alipopanda mbegu zilipooya yakaota na magugu na Bwana akasema yabakishwe mpaka wakati wa mavuno. Kwenye ndoa hakuna kichaka hata ukioa binamu yako jitahidi kukabiliana na ukweli wa tofauti za kufikiri na majukumu ya mume na mke.
  18. Makiri Unguluma

    Namuona Prof. Ndalichako akiitwaa Jimbo la Kigoma Ujiji

    Nimependa utafiti wako maana unasababisha watu wasitumie penseni zao badala yake wazitupe kwente kampeni. Sina hakika kama CCM watapenda kumfanyia fujo Zito nadhani unaongekea CCm tofauti na ile yenye mbinu 100 za kushinda uchaguzi na sasa imeshatumia tatu pekee
Back
Top Bottom