Search results

  1. E

    P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    TD Jackes alimpitia au? Dadavua kidogo mkuu.
  2. E

    Haji Manara: Ahmed Ally ni shabiki kindakindaki wa Yanga

    Hata GSM ni Simba damu, hata yeye mwenyewe pia ni Simba damu
  3. E

    Gamondi anafanya sana makosa kumtumia Pacome ilihali ni majeruhi

    Msimamo unaweza kugeuka muda wowote Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  4. E

    Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Na yeye amezungumzia mechi yenu na Ihefu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  5. E

    Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Kwanini mlimwacha aende huko kama angekuwa na msaada? Si aliwahi kuondoka kabla hamjamrudisha tena? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  6. E

    Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Waowan mpira, sisi tuna majini. Tukutane kwa Mkapa! Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  7. E

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Shalulile Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  8. E

    Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Anatusumbua tu na ving'ora mpaka usiku saa tatu akiwa anarudi kwake maeneo ya Makulu huku juu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  9. E

    Ni sahihi Bajeti ya Matumizi kuwa kubwa kuliko ya Maendeleo kwa Bajeti inayokuja 2024/2025

    Kama ni hivyo kweli basi Serikali ipo sahihi Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  10. E

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Che Malone ni mdogo wako [emoji38] ila wabongo mnanishinda tabia aisee..... Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  11. E

    Wachezaji wabovu kuwahi kusajiliwa Simba na Yanga

    Skudu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  12. E

    Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    Hachelewi kuzimia mambo yakienda ndivyo sivyo. Safari hii atakata moto kabisa Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  13. E

    Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kabla hata sijaanza kusoma huu uzi naomba kuunga mkono hoja kwa 110%. Baada ya kusema hayo mkuu, naomba ruhusa yako nianze kusoma madini uliyoyaandika Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  14. E

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Hawezi, anajielewa sana yule. Na kama ni hivyo angeshafanya hivyo siku nyingi sana Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  15. E

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Kwani wamelazimishwa kucheza? By the way, hatujakataa kudhaminiwa tunachohoji mdhamini wa timu ya Yanga kwanini awe mdhamini wa timu nyingine? Huoni ni rahisi kupanga au kuamua matokeo zitakapokutana na Yanga au mpinzani wa Yanga? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  16. E

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Mpaka nimemkumbuka yule CEO wa kike wa Simba SC, angekuwepo wangetolea tu ufafanuzi watake au wasitake! Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  17. E

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Kwanini usimpe heshima Haji Manara aliyesema kwenu wote ni matahira kasoro wawili tu, baba yake na mzee JK? Kuna mkataba gani usiohojiwa? Kwa maslahi yapi? Unaposema timu ni mbovu umetumia kigezo gani? Ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo waligi? Na wewe ulitaka iwe nafasi ya ngapi? Sent from my...
  18. E

    Simba tuache kutafuta visingizio, Kwa sasa Yanga wametuacha mbali sana

    Mangungu anatuharibia timu. Mimi binafsi hata Simba ikikutana na maji maji ya Songea naanza kwanza kuamini kuwa Simba itapigwa, ikitokea tofauti basi ni Alhamdulilah! Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  19. E

    Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

    Halafu naona uto mnaumia sana Simba inapofanya vibaya. Hii inaonesha ni kwa namna gani mnaipenda Simba japo mdomoni mnaiponda Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  20. E

    Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

    Kwa hiyo anataka arudi? Hebu muulizeni, mtupe mrejesho Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom