Search results

  1. OBSAMA

    Kwa matokeo haya naweza kupata diploma ya clinical medicine?

    Vipi mkuu tayari unasoma hii course..
  2. OBSAMA

    NAFASI YA MASOMO MWAKA 2018

    Naomba kufahamu kama watakua na intake ya mwezi March. Asante.
  3. OBSAMA

    NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

    Subiri dirisha lifunguliwe kila kitu kitakua poa, dirisha linafunguliwa tar 15 January.
  4. OBSAMA

    Maazimio ya vyama 6 vya upinzani ni mtego kwa Rais Magufuli

    Ingekua bunge la Afrika labda tungetishika. Walaya waache na Ulaya yao na sisi watuache kama tulivyo. Hatutaki chokochoko zao. Mambo ya Libya na Iraq hatuyataki. Mbona huyo Trumpet kilasiku anazingua huko kwao, anaachisha watu kazi kibabe tu. Kwahiyo human rights ni Africa tu. Tutasimama na...
  5. OBSAMA

    Maswali yanayoulizwa kwenye interview utumishi

    Fuata Maelezo ya mpombote hapo juu
  6. OBSAMA

    Maswali yanayoulizwa kwenye interview utumishi

    Umeitwa kufanyiwa interview gani
  7. OBSAMA

    ADA KWA COARSE YA CLINICAL MEDECINE VYUO VYA SERIKALI

    Kwani application zisha anza? Nadhani itakua hadi mwezi January.
  8. OBSAMA

    Ukiwa na GPA kubwa,, Huwezi kosa kazi ya kile ulichosomea ,naamini hvyo..

    Kumbe bado hauja graduate! Graduate kwanza alafu uje upige interview na watu wenye GPA za gentlemen ndio utajua. Ajira ina siri kubwa Mdogo wangu.
  9. OBSAMA

    Kulogin udsm Aris

    Alafu kijana inakuaje hadi mwaka wa 3 bado unatumia surname, binadamu tunatofautiana wahuni wanaweza kua wamekuotea kisha wakabadirisha password. We chamsingi fuata ushauri tulip kupatia.
  10. OBSAMA

    Kulogin udsm Aris

    Nenda department, au college yako hapo watakurekebishia.
  11. OBSAMA

    Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-apply vyuo vya afya kupitia NACTE

    Subiri dirisha lifunguliwe hapo mwezi March.
  12. OBSAMA

    Kulogin udsm Aris

    Upo mwaka wa ngapi? Nenda ARIS pale library watakusaidia au department yako kwamtu anaehusika Na Aris atakusaidia. Ungekua CoNAS ningekueleza, Mimi mwenyew kipindi nilikumbwa na mikasa hiyo mwaka wa kwanza.
  13. OBSAMA

    Msaada wa kuandika research proposal.

    Jibu lakisomi, hongera!
  14. OBSAMA

    Mbowe na Mashinji wavutana kwa hoja kwa zaidi ya masaa mawili, ni kuhusu hatima ya Komu na Kubenea

    Hiyo Audio ya Komu na Kubenea wameiamini ila ya Mbowe na Wema ni wahuni walitengeneza, hiki chama na watu wake wajitafakari
  15. OBSAMA

    Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    CHADEMA sahizi nikama vile tamthiliya ya SULTAN (Ottoman empire).. Sijajua Hurrem ni nani
  16. OBSAMA

    Nijuzeni haya kuhusu mikopo elimu ya juu

    Lakin nadhan zamu ya form six bado but mwaka sisi tuna apply tulitumia result slip ya form four only
  17. OBSAMA

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Naomba kufahanishwa, hivi 25% inayotakiwa kurejeshwa ni kwa wanufaika walio ahirisha, kufukuzwa e.t.c au hata aliemaliza masomo anaweza kurejesha na kupewa tena( endapo anataka kusoma programme nyingine)
  18. OBSAMA

    Tuwahurumie wanafunzi hawa tuwape mkopo kwa vigezo Hali vya kisheria

    Naomba nisaidiwe hili, 25% ni wale walio fukuzwa tu au hata walio maliza lakini wanataka kusoma programme nyingine.?
  19. OBSAMA

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Jamani na Mimi naomba kufahamishwa, je, alie maliza chuo na ni mnufaika wa mkopo, anaweza pewa mkopo kwa kulipia 25% ( Vigezo)
Back
Top Bottom